Karibu Fundi Coutinho

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,712
5,033
Hatimaye midfielder mwenye udambwi udambwi mwingi, mchawi mchawi Coutinho ametua Barca.

Karibu sana, uendeleze kipaji chako Pembeni ya mfalme wa soka Lionel Messi na mafundi wengine kibao.

Huku ni makombe tuu hakuna upuuzi wa kucheza miaka mitano bila kombe kama ulipotoka.

Forća Barca
7cc673f5c33f6eafdb888c4ef3057854.jpg
 
huyo dogo kipaji anacho yani, ni fundi mpaka mtu unafurahi kuona mpira...
Alikotoka na anakoenda zote ni timu ambazo sizipendi ila napenda tu kuona mpira wake
 
huyo dogo kipaji anacho yani, ni fundi mpaka mtu unafurahi kuona mpira...
Alikotoka na anakoenda zote ni timu ambazo sizipendi ila napenda tu kuona mpira wake
Jiandae kumuona akiichachafya ngome ya real madrid mkuu
 
Angetulia ANFIELD sasa hivi angekuwa anajipetea tu.

BARCA hawana hata maana.

Ila hatuwezi jua labda anaweza kung'ara BAYERN
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom