Karibu Dodoma, hii ndo Dodoma kwa Ufupi

Mkuu unaongelea warangi? Unless we mlangi, Ila kama siyo hii number inaogopwa sana Tanzania kama hujui Leo nakujuza
Mimi sio Mrangi ila nawajua vyema Warangi Kutoka kona zote za Kondoa ,chemba, haubi,Aneth,Pahi,Mnenia,Itundwi ,Mondo ,Simba, Chandama mpk kule Soya n.k

Warangi hatari sana ni wale Weupe wa kondoa Kaskazini na Wa Farkwa wenye mchanganyiko na Wasandawe.

utapigwa ndere mpk usahau familia yako na vizaz vyako vyte ukiwagusa wale.
 
Hapo sawa
 
Mitoto ya huku inaakili sana lakini haitaki kusoma wengi watakwambia wameishia form two au three pia hawataki kufanya kazi Ni bangi na wizi ukiona vijana wanachacharika ujue wametoka nje ya Dodoma
 
Mkuu unaongelea warangi? Unless we mlangi, Ila kama siyo hii number inaogopwa sana Tanzania kama hujui Leo nakujuza
Wanaitwa barabara ya vumbi hao wanawake wanaogopeka sana kaskazini kijana ukimpeleka kwa wazazi hawatakuelewa sijui Kwanini?
 
Mimi sio Mrangi ila nawajua vyema Warangi Kutoka kona zote za Kondoa ,chemba, haubi,Aneth,Pahi,Mnenia,Itundwi ,Mondo ,Simba, Chandama mpk kule Soya n.k

Warangi hatari sana ni wale Weupe wa kondoa Kaskazini na Wa Farkwa wenye mchanganyiko na Wasandawe.

utapigwa ndere mpk usahau familia yako na vizaz vyako vyte ukiwagusa wale.
Hapo mwisho "ndere" sijakuelewa mkuu.
 
No. 6/9 nimezikubali, zimenikumbusha wazee wa hot pot family.
 
Back
Top Bottom