Karibu Dodoma, hii ndo Dodoma kwa Ufupi

hata iweje dodoma haiwez tokea ikawa sawa na dar..

washington ina miaka zaidi ya 300 toka usa wapate uhuru lakini haijaifikia new york..

kama umetembea kuiona dunia utanielewa kama ni wa hapa hapa endelea kubishana..
lagos na abuja, joberg au cape town na pretoria, mumbai na new delhi ni mifano hai kabisa

Sidhani kuwa lengo la kuhamishia shughuli za serikali Dodoma ni kuifanya Dom kuwa sawa na Dar!
 
Dodoma hakuna mrundikano wa gesti kama Sinza au kwa wahaya Mwananyamala.
Ukiwa na hamu zako kama hujahamia na wife wako, jua utapiga nyeto usiku kucha mpaka umchubue Abdala kichwa wazi

Sio kweli. Dodoma ndo kwenye gesti za kutosha.
 
Dodoma umeme haukatiki, na maji ni muda wote, hakuna biashara ya maji, yakikatika kwako basi jiandae kulia maana hakuna nyumba utakayouziwa maji, kina mtu na bomba lake labda uswahilini tu.
Dodoma hakuna joto kama Dar
Dodoma huruhusiwi kujenga nyumba bila kibari, nyumba yako itabomolewa fasta!
Dodoma ndani ya robo saa umefika kazini ukitokea eneo lolote la mji kwa daladala au private.
Dodoma majengo yenye lift yako UDOM na mengine hayazidi matano
Hakuna hodi hodi za umbea, ukisikia hodi unakuja alikwa kuna shughuli jirani, kwa mf. Dua, arobaini na sadaka kwa dini zote, hatuombani chumvi wala majani, kila mtu na maisha yake
 
Back
Top Bottom