Karibu Dodoma daily updates the upcoming city.

gomamamuli

Member
Jun 5, 2017
13
45
Wadau karibuni ktk group la wasap tupeane fursa mbalimabali ili tujiendeleze kiuchum!karibu Dodoma mji unaokua hata kama we mgen jiunge upate fursa ardhi n.k.bonyeza
WhatsApp Group Invite
Kama link imekosewa baasi tuma ujumbe UPCOMING CITY tutajua kwenda 0762098412 whatspp au SMS kawaida
 
mtafutaji2016

Senior Member
Jun 19, 2016
108
225
Dodoma mbona haikui licha ya promo nyingi?
Mara yako ya mwisho kwenda dodoma ni lini?? Dodoma ya zaman si ya sasa...nyumba za kisasa, umeme haukatiki, maji had mlangoni...inshort imebadilika sana na wengi wanakimbilia kununua viwanja kule na bei inapanda kila kukicha....
 
Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,893
2,000
Mara yako ya mwisho kwenda dodoma ni lini?? Dodoma ya zaman si ya sasa...nyumba za kisasa, umeme haukatiki, maji had mlangoni...inshort imebadilika sana na wengi wanakimbilia kununua viwanja kule na bei inapanda kila kukicha....
nmetoka huko week iliyopita..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom