Karibu DCI Mungulu jamvini


U

uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Messages
439
Likes
2
Points
0
Age
42
U

uchwara

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2013
439 2 0
Kwa wengi tunayoipenda nchi yetu yenye madini lukuki,maziwa yenye fresh water,bahari,milima mizuri,mbuga za wanyama tunakutakia mafanikio katika kazi yako.

Cheo cha DCI kwa Tanzania ni kama Director wa FBI wa USA.Wenzetu hawana IGP maana Polisi wao wana contract na raia kusolve criminality sio kuleta siasa kama IGP wa Tanzania

Kwa Tanzania DCI amekuwa ni Director of CCM Impunity.Wanaojiita CID ni part ya problems maana hawana ethics za kazi ndio hao wanashiriki kwenye criminality kama vile madawa ya kulevya

Mwenzako DPP(Director of Party Propaganda) Dr Eliza Fleshi,hajui hata kudefine terrorism.

Kuna mambo ambayo unatakiwa uyashughulikie ili sisi Watanganyika tuwe na imani tena na ofisi yako,otherwise
utakuwa kama mwenzako aliyepita:

1.Umwite Bw Kinana umhoje tuhuma kubwa ya meno ya tembo,ambayo kila mtu mwenye akili timamu Tanganyika
anajua huyu mtu anahusika na huu ujangili wa kuua tembo wetu

2.Mpaka sasa hatujui ofis yako ina mtazamo gani na mabomu ya OLASITI na SOWETO ambapo Watanganyika wezetu wasio na makosa waliuliwa na wengine kujeruhiwa.Kama una ubavu umwite Bw Mwigulu Nchemba na kumhoji hasa
bomu lililolipuka kuko SOWETO

3.Criminality ya madawa ya kulevya inatia aibu nchi yetu hii ya Tanganyika.Wiki hii tu dada Mtanganyika amefungwa huko Zimbabwe.Wengi tunaamini huyu ni Punda tu(drug mule)lakini WAzungu waunga wako jijini DAR
ni untouchables.CID wako wanachukua pesa toka kwa hawa.
Act mapema kulinda heshima ya nchi hii.
Tulikuwa ni Mwenyekiti wa nchi za mstali wa mbele kwenye Liberation ya nchi za Kusini mwa Africa.Sasa ni mwenyekiti wa mstali wa mbili kusupply drugs kusini mwa Afrika

4.Issue ya Prof Kapuya imetuchafua mioyo wengi wetu wenye watoto wa kike.Kama wewe sio Director wa CCM Impunity(DCI) huyu mtu anatakiwa awe rumande sasa wakati uchunguzi unaendelea.Sijui TISS au IGP watakuruhusu

Kazi njema

 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
20,898
Likes
10,114
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
20,898 10,114 280
HIZI TUHUMA ZILISTAHILI ZIENDE MAHAKAMNI NA SIO HAPA jf
 

Forum statistics

Threads 1,251,868
Members 481,917
Posts 29,788,291