Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

Nilifiwa na nyanya yangu, tukapeleka maiti mochuari, kwa bahati nzuri mihudumu ni mtu wa pale mtaani.Akaweka kwenye box za mwanzo kabisa na lebo ya jina juu yake.

Kesho yake tulipokwenda ile maiti haikuonekana pale tulipoiweka imebadilishwa.Mhudumu akawa anavuta box mpk box mpk mwisho hatujaiona

Wakati tunarudi ile maiti yetu ikandondosha mkono, woote tukasema maiti yetu ile pale. Ni droo ya tatu tuu toka pale tulipoiacha.
Wenge la mle ndani siyo mchezo
 
Mmh nitakupigia dada.... Nahitaji kufahamu zaidi juu ya hili... Kwema lakini huko?
 
Sio wote lakini kikubwa ni woga na kuhukumiwa na nafsi.. Japo wengine kama marehemu alikunenea vibaya huna jinsi usipolipa moto utakuwakia
Mshana Jr kwa nini marehemu akifariki ni lazima wanaomdai/wanaodaiwa na marehemu lazima walipe/wamlipe madeni? Kuna madhara gani endapo hawatafanya hivyo?
 
Mama alifariki 2016. Kwenye kuumwa vidole viwili vya mguu wa kushoto vilikufa.

Alipozikwa, pale kaburini upande ule wa mguu ule wa vidole vigonjwa japo havikukatwa palititia.

Hii inaashiria nini?
 
Mmh... Kifo kilikuwa na tatizo hicho hasa hivyo vidole
Mama alifariki 2016. Kwenye kuumwa vidole viwili vya mguu wa kushoto vilikufa.

Alipozikwa, pale kaburini upande ule wa mguu ule wa vidole vigonjwa japo havikukatwa palititia.

Hii inaashiria nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom