Karibu bukoba

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
KARIBU BUKOBA
Mji uliobarikiwa na ni mji wenye maziwa na rubisi
1. Una mchanganyiko wa watumbalimbali kama waganda, wanyarwanda, waTZ etc
2. Una matunda ya kipekee kama kama vile amashasha, enkenena, entuntu, ebifakedo, enzilu etc
3. Una mboga za kipekee kama omulili, eibota, omutontozi, entura, entongo, omushokooro, enkeije etc
4. Una majina matamu ya asili kama kokwenda, kweyamba, mujuni, mwemezi, asimwe, begashe, kokushuubira etc
5. Pia una ngoma za asili kama omutoro, okwebuga, enchuma,amayaga, ect
6. Watu wake wana ushirikiano, upendo na huruma nyingi sana
HII NDO BUKOBA YETU KARIBUNI SANA
 
Kasinge waitu. Akatoke kaliyo! Male akenshoro! Bati nolwo otalya mumaju, nebinamu enshoro!
 
7. Mji ambao magonjwa yote makubwa yanaanzia pale.
8. Mji ambao una soko lenye jina tamu.
9. Nyumbani kwa Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Mbona insenene sijaiona hapo ? Intura nimewahi kuionja ni jamii ya nyanya chungu ni vidogo dogo na kule murushaka niliwahi kula ndizi zimesongwa kama ugali zinaitwa akatogo kama sikosei.
 
Karibuni Gulioni Katerero Bukoba. Hapa tunauza senene, rubisi na kadhalika.

Welcome to Bukoka.
 
Hebu niambie kiwango cha juu na cha chini ya mahari ya huko bukoba

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Bishanga anauza ndizi za aina gani? Mbivu au mbichi?

Unazifahamu zile ndizi ma''red''iiii?, si zipendi kama nini!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga anauza ndizi za aina gani? Mbivu au mbichi?

Unazifahamu zile ndizi ma''red''iiii?, si zipendi kama nini!

Ukimwangalia Bishanga kwenye picha yake utaona anauza RED BANANA pale Kamachumu.

BTW hivi unajua matumizi ya LIKE :)A S thumbs_up:) kwenye mtandao huu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom