Kariakoo: Mama mfanyabiashara ndogondogo adaiwa kuvua nguo na kumpaka kinyesi mgambo

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
4,423
9,962
Hii bongo kuna matukio yanatokea unabaki mdomo wazi tu.

Jana Kariakoo mgambo walikuwa wakifukuza wale wamama wafanyabiashara ndogondogo Kariakoo.

Basi bwana wakafika kwa mama mmoja hivi baada ya kummwagia vitu yule mama akapandisha mori na kuanza kuvua nguo hadharani, mara ghafla akanya. Baada ya kunya akachukua mavi na kumpaka mgambo mdomoni, mgambo alibaki kupigwa na butwaa asiaamini kilichotokea

Wakambeba yule maza na kumpeleka msimbazi polisi. Kilichoendelea huko sijui. Ila wamsamehe maana pengine haikuwa akili yake huenda alichanganyikiwa kidogo mambo yake aliona yatakuaa magumu.

Video akinya nashindwa kuiweka maana sijui kama unaruhusiwa humu kurusha video ya utupu tena mtu mzima akiwa anakunya
 
Mgambo ndio kashatupiwa zongo la kimavi...

Maisha yake yote atajikuta mambo yake 'yananuka kama kinyesi' na watu kumkwepa kama wanavyokwepa mahali palipo na kinyesi...
 
Hii bongo kuna matukio yanatokea unabaki mdomo wazi tu.

Jana Kariakoo mgambo walikuwa wakifukuza wale wamama wafanyabiashara ndogondogo Kariakoo.

Basi bwana wakafika kwa mama mmoja hivi baada ya kummwagia vitu yule mama akapandisha mori na kuanza kuvua nguo hadharani, mara ghafla akanya. Baada ya kunya akachukua mavi na kumpaka mgambo mdomoni, mgambo alibaki kupigwa na butwaa asiaamini kilichotokea

Wakambeba yule maza na kumpeleka msimbazi polisi. Kilichoendelea huko sijui. Ila wamsamehe maana pengine haikuwa akili yake huenda alichanganyikiwa kidogo mambo yake aliona yatakuaa magumu.

Video akinya nashindwa kuiweka maana sijui kama unaruhusiwa humu kurusha video ya utupu tena mtu mzima akiwa anakunya
Hiyo ni laana hadi kijazi chake chote.
 
Back
Top Bottom