Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Dawa ya Kagere tumeshaitambua! Ni kumvua tu yale mahirizi yake, kwisha habari! Mwenyewe anaomba Sub! Kuna baadhi ya mbumbumbu wanasema eti ile ni rozali, mara msalaba wa Yesu, nk!

Wamesahau Meddie Kagere ni Mswahilina na pia ni mtu wa swala tano kwa siku! Sasa rozali na yeye wapi na wapi!
 
IMG-20200105-WA0037.jpg
 
Mswalihina na hirizi wapi na wap?
Yaani mchezaji international anakuja na mahirizi yake Bongo.
 
Othman kazi yeye ndo sheria? kwamba atakachosema ndo kifuatwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anazijua sheria za mpira kushinda wewe na mimi, uamuzi wa mpira wa miguu ni taaluma yake.
Enzi zake akisema ni kona inakuwa kona kweli akisema ni tuta linakuwa tuta kweli.
.
Hadi sasa ni mkufunzi wa waamuzi nchini wewe mwenzangu na mimi ni referee?
 
yanga lazima watafute sababu wakati yule mama anampa Banda red card alikuwa mwamuzi sahihi, wakati tambwe anafunga goli la mkono alikuwa mwamuzi sahihi Yondani ukifatilia mechi za simba na yanga huwa amezoea kucheza ubabe wakati ule anamtemea mate Kwasi halikuwa tatizo kwa kifupi alistahili kadi nyekundu na wachezaji wenzake wakicheza mirafu ya ovyoovyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom