Kariakoo Derby: Atakaye ingia kambani 28/10/17 wala si huyu!

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
yes.jpg

Wengi mnadhani kuwa kutokana na kuwapo kwenye form ya ajabu ambayo hajawahi kuonyesha, mnadhani kuwa ana uwezekano mkubwa wa kuingia kambani zaidi ya mara moja.

La hasha sivyo! Atatumika tu kama chambo, ila waingiaji kambani kwenye mechi za Derby wanajulikana wazi kabisa na wala huwa hawakoseagi wakikutana na upande wa pili.


1. Tambwe

2. Ngoma

3. Chirwa

4. Tshitshi Bay.

Mmoja au zaidi ya hao wanaenda kutonesha kidonda cha takribani miaka 5.
 
Huu ni wakati wenu wa kushangilia maana badae mnyama atakavonguruma mtaa uvunguni
 
Back
Top Bottom