Wallace Karia mwisho wake umefika

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,185
103,698
20210612_13311997715.jpg

Kwa hao wagombea hapo, ni dhahiri sasa enzi za Karia zimeisha. Nawapa nafasi Ally Mayayi na Tarimba Abbasi
 
View attachment 1816200
Kwa hao wagombea hapo, ni dhahiri sasa enzi za Karia zimeisha. Nawapa nafasi Ally Mayayi na Tarimba Abbasi
Mkuu huelewi siasa za chaguzi za mpira hata kidogo,narudia tena huelewi siasa za mpira.
Any way nkutarifut kwenye siasa za mpira ukiona uchaguzi umetangazwa tarehe fulani jua uchaguzi ulishakwisha watu hawendi kichwa kichwa.
Save this karia atashinda kwa zaid ya asililimia 90.
 
hadi unaona karia yuko radhi nchi iabike kwa fainali kuchezwa kwenye uwanja mbovu wa kigoma ulioooza hadi mapaa yana kutu unadhani hajajipanga? hataki kupoteza kura za kigoma,tabora ,kagera,greedy and selfish
jamaa limejipanga kweli kweli ila Tarimba ndiye hovyo kuliko wote anajua jina litakwatwa kwa sheria za Fifa ila kafanya kusudi kuliweka ili wana yanga walalamike na kuzua vurugu
 
Uchaguzi uliopita Karia alipita kwa kura zaidi ya 90 ,Ally mayay alipata kura tatu tu

Uchaguzi huu Karia atapita kwa kishindo huwezi kumtoa Karia Kama upo nje ya system

Wajumbe ambao ni wapiga kura wote wanajuana na karia tokea kitambo na ni watu wake

Huwezi kumtoa current president labda aachie ngazi mwenyewe ,mjumbe akiwa si team yake analetewa zengwe na kuondoshwa na anawekwa mtu wake..


Kwahiyo ondosha ndoto hio akilini kwako ,Karia atapita kwa kishindo sababu ya system mbovu ya Tff
 
Back
Top Bottom