Karejea upyaaa, wazee chadema na viongozi wakubali kufukia mabonde ya kijana wao

Kama katiba mpya itapatikana kabla ya uchaguzi na serikali mpya ya mwaka 2015 kuanza kazi kwa katiba mpya basi kuna kila matumaini itakua cdm. Na watu wengi wameomba kwenye katiba mpya mbunge asiwe waziri. Hivyo zitto keshakua na ndoto za uwaziri which it's good kwani atakua yuko karibu zaidi na serikali na kwenye kusimamia rasilimali za nchi. Me think nothing against zitto
 
safi kabisa umri bado unamruhusu,hata huo urais ataupata bila shida miaka ijayo kwa sasa jenga chama kama Lema alivyofanya kwa muda mfupi,vyeo vitakuja tuu!!hamuoni Lissu anapambana haswa hata leo akichaguliwa kugombea chochote nitampa kura yangu
 
Ni habari njema sana, ila ule uhusiano wake wa karibu sana na JK na TISS anaweza kuusitisha kiurahisi kweli? Maana bila hivyo kuendelea kwake ndani ya CDM kutakuwa kwa mashaka sana, hataaminiwa
 
THAT IS WHAT THEY SAY: IF U CANT FIGHT THEM JOIN THEM, IT IS SO DISGUSTING!!!
Let us remain as witnesess!
 
Mimi binafsi namkubali sana zito, nadhani kwa sasa ajitafakari upya na aone na namna gani ya kukisaidia chama kwa kushirikiana na viongozi wengine waandamizi wa chama
 
hatushangai siasa za udikteta za chadema Atakuwa amelazimishwa aseme hivyo.ili kunusuru CHAMA.Ukweli utajulikana siku za mwongo ni40

Bado ana jambo la kuwaeleza wananchi watanzania sio wajinga sana lazima Zitto afafanue uhusika wake na Masalia na PM7,Ben Saa nane amemtaja Zitto kama Drogba na mddhamini mkuu wa Masalia Saa nane kaonekana mbele ya BAVICHA kama shujaa asiye na mawaa iweje aliowatosa watoswe kwa makundi,wengine wafukuzwe wengine waachwe??sio rahisi kiivyo
CHADEMA lazima wachukue hatua dhidi ya Zitto au kama alisingiziwa Ben Saanane achukuliwe hatua kwa uzushi wake otherwise hakitaeleweka hakuna kulala mpaka mtupe ufafanuzi

Zitto aondoke na Masalia yake
Au Ben Saanane aondoke kutokana na uzushi wake
 
Zitto, naibu katibu wa chadema ambae hivi majuzi amewaaga wana wa chadema kigoma kaskazi baada ya kuongoza jimbo hilo katika vipindi viwili tofauti,taarifa za ndani sana zinadai sasa amerejea chadema na he is going to start over right from the scratch. Mwanasiasa huyu kijana ambae hivi majuzi alivuliwa nguo hapa JF kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Masalia.. kwa taarifa za ndani zinadai, hana mpango wa kuacha siasa wala kuondoka chadema, ila kwa sasa ana kazi kuu moja kufanya matengenezo na kufukia mabonde yake ndani ya chama baada kupitia vipindi mbali mbali vya kupoteza imani ya wanachama haswa viongozi wake waandamizi kufikia hatua ya kutoifanya kazi yake ya unaibu ipaswavyo. Tayari ameshaomba nafasi ya kukaa karibu na viongozi na wazee ndani ya chama, na alilihitaji hiyo nafasi mapema na sasa ipo katika mchakato(ikumbukwe mbowe katika mkutano wa juzi hakupenda mjadala wa Zitto upewe coverage ili kuucha upepo upite wamalizane ndani ya chama). Taarifa za kuaminika kutoka kwa washauri wa Zitto zinadai hatagombea nafasi yoyote ndani ya chama,(unless atapewa shinikizo na wazee/baraza la ushauri).."Pengine hata yeye anajiuliza mbona yeye ni kiongozi mzuri lakini kila kukicha anakutana na setbacks ambazo kama kiongozi alipaswa nazo awe na uwezo wa kuzimaliza, but its consistent inamfanya aweke silaha chini, akaanze upya" chanzo hicho kilizidi kilidai. . Zitto hutamsikia kwa sasa akijadili habari za yeye kugombea urais, hutamsikia akizungumza habari ya kugombea uongozi ndani ya chama, ila anasubiri ratiba ya nguvu ya umma ikamilike utamsikia katika mimbari ya kisiasa mikoa ya tanzania akiipigania chadema..(Mark my words).. Ndiyo kauli ya mwisho nlioambiwa na mtu wa karibu sana na Zitto.

MY TAKE
Hivi urafiki wa Zitto na CCM(Kikwete) umeisha?

Je ni kweli anaweza akawa amemsikiliza Mama yake ambaye pamoja na wazee wengine walipewa kazi ya kuketi naye kitako wamsikilize na kumshauri?

Vipi nafasi ya masalia? Jee ni kwamba ameamua kumkataa shetani na kazi zake zote?

Ni wazi kuwa Zitto yupo comfortable kwa sasa, na strategy ya kurudi nyuma kuanza ku toil kwa ajili ya chama nadhani ni uamuzi mzuri.. Pengine mpaka ifike 2015 chadema ikashangaza watu ambao wanafikiri kitapasuka. Naona Zitto umri unakuja na busara,na pia nawapongeza viongozi wa chadema kwa kuamua kusolve hii issue ya Zitto kwa namna ambayo wapinzani wenu watakua confused wakiwa washachelewa!

naiwe hivyo na mungu hawajalie hekima na busara wote walioshiriki na wadumu katika makubaliano
 
Haleluya tutamimba na kaka Zitto.Tutaimba na kaka Zitto tutaimba na kaka zitto.
Na CDM ni washindi kila wakati..Tutaimba
 
Hata mimi nimefurahi sana kuskia jembe letu Zitto karudi kundini, Kweli sisi huwa tunampenda sana ila tatizo yeye alikuwa hajali upendo wetu na kuanza kutusaliti ila kwa kuwa Zitto kawa muungwana basi sisi hatuna ubaya naye.
 
Last edited by a moderator:
Haleluya tutaimba na kaka Zitto.Tutaimba na kaka Zitto tutaimba na kaka zitto.
Na CDM ni washindi kila wakati..Tutaimba
 
Bado ana jambo la kuwaeleza wananchi watanzania sio wajinga sana lazima Zitto afafanue uhusika wake na Masalia na PM7,Ben Saa nane amemtaja Zitto kama Drogba na mddhamini mkuu wa Masalia Saa nane kaonekana mbele ya BAVICHA kama shujaa asiye na mawaa iweje aliowatosa watoswe kwa makundi,wengine wafukuzwe wengine waachwe??sio rahisi kiivyo
CHADEMA lazima wachukue hatua dhidi ya Zitto au kama alisingiziwa Ben Saanane achukuliwe hatua kwa uzushi wake otherwise hakitaeleweka hakuna kulala mpaka mtupe ufafanuzi

Zitto aondoke na Masalia yake
Au Ben Saanane aondoke kutokana na uzushi wake

mkuu akishawaeleza itasaidia nini?nafikiri viongozi na wazee wadhamini wamepewa mamlaka na wanachama yakufanya maamuzi kwa ya utendaji na watendaji wake tumefundishwa kusamehe mara 70 kama mtenda amekiri kosa na amekubali kujirekebisha why not?there is always second chance.siyo muda kwa kuendelea kudiscuss hili tusonge mbele thou kuna ambao walitarajia tofauti ili ndoto zao zitimie au wapate cha kuongea ila imekula kwao ndiyo wanaendeleza uchokonozi na majungu
 
kuna mabadiliko niliyaona katika kauli zake za karibuni. Tunamtakia kila la heri

Mkuu..yapo mabadiliko mengi Zitto anategemea kuyafanya nimeshindwa kuyapata vizuri lakini anaweza akawa "jiwe lililokataliwa na waashi likawa jiwe kuu la pembeni" pale CDM.. Mie sijawahi kumkubali zito hata ukifatilia threads zangu ila, nlivyokutana na hii taarifa,ofcoz nimejaribu hata kumprobe aniambie movements zake kwa sasa anakua kimya..ila tutegemee makubwa, huyu mtu kushuka kisiasa kazi sana.. He is determined kukijenga hichi chama kwa gharama yoyote (nahisi labda he is not in gud terms with some people so ameamua kuwa solid opposition leader).. Mimi nasubiria ratiba ya M4C tuone ukweli wa haya.
 
Last edited by a moderator:
Good move LAKINI, Zitto lazima ajipambambanue kwa vitendo... Wengine tulisha mmwaga akilini long time, tena tukamchukulia kama Dr Walid Aman Kaborou...Tulisha amini kuwa Kigoma hawaaminiki bali wanatanguliza maslahi yao mbele kama alivyofanya the Great MARANDA et al ...
 
Nitafurahi sana akifanya hivyo. Maana ananichosha sana kumtetea hapa kila siku...
 
Zitto, naibu katibu wa chadema ambae hivi majuzi amewaaga wana wa chadema kigoma kaskazi baada ya kuongoza jimbo hilo katika vipindi viwili tofauti,taarifa za ndani sana zinadai sasa amerejea chadema na he is going to start over right from the scratch. Mwanasiasa huyu kijana ambae hivi majuzi alivuliwa nguo hapa JF kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Masalia.. kwa taarifa za ndani zinadai, hana mpango wa kuacha siasa wala kuondoka chadema, ila kwa sasa ana kazi kuu moja kufanya matengenezo na kufukia mabonde yake ndani ya chama baada kupitia vipindi mbali mbali vya kupoteza imani ya wanachama haswa viongozi wake waandamizi kufikia hatua ya kutoifanya kazi yake ya unaibu ipaswavyo. Tayari ameshaomba nafasi ya kukaa karibu na viongozi na wazee ndani ya chama, na alilihitaji hiyo nafasi mapema na sasa ipo katika mchakato(ikumbukwe mbowe katika mkutano wa juzi hakupenda mjadala wa Zitto upewe coverage ili kuucha upepo upite wamalizane ndani ya chama). Taarifa za kuaminika kutoka kwa washauri wa Zitto zinadai hatagombea nafasi yoyote ndani ya chama,(unless atapewa shinikizo na wazee/baraza la ushauri).."Pengine hata yeye anajiuliza mbona yeye ni kiongozi mzuri lakini kila kukicha anakutana na setbacks ambazo kama kiongozi alipaswa nazo awe na uwezo wa kuzimaliza, but its consistent inamfanya aweke silaha chini, akaanze upya" chanzo hicho kilizidi kilidai. . Zitto hutamsikia kwa sasa akijadili habari za yeye kugombea urais, hutamsikia akizungumza habari ya kugombea uongozi ndani ya chama, ila anasubiri ratiba ya nguvu ya umma ikamilike utamsikia katika mimbari ya kisiasa mikoa ya tanzania akiipigania chadema..(Mark my words).. Ndiyo kauli ya mwisho nlioambiwa na mtu wa karibu sana na Zitto.

MY TAKE
Hivi urafiki wa Zitto na CCM(Kikwete) umeisha?

Je ni kweli anaweza akawa amemsikiliza Mama yake ambaye pamoja na wazee wengine walipewa kazi ya kuketi naye kitako wamsikilize na kumshauri?

Vipi nafasi ya masalia? Jee ni kwamba ameamua kumkataa shetani na kazi zake zote?

Ni wazi kuwa Zitto yupo comfortable kwa sasa, na strategy ya kurudi nyuma kuanza ku toil kwa ajili ya chama nadhani ni uamuzi mzuri.. Pengine mpaka ifike 2015 chadema ikashangaza watu ambao wanafikiri kitapasuka. Naona Zitto umri unakuja na busara,na pia nawapongeza viongozi wa chadema kwa kuamua kusolve hii issue ya Zitto kwa namna ambayo wapinzani wenu watakua confused wakiwa washachelewa!
nitawashangaa sana kama mtamwamini zito.kuna ujasusi wa hali ya juu sana unachezwa na ccm kwa kushirikiana kwa karibu na zitto.take my word.
 
Back
Top Bottom