Kardinali Pengo asema bado kuna akina Herode uchwara duniani!

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
3,165
2,000
Hata kina mbowe hawakuzungumza juu ya ben mpaka ndugu zake. Kwanini unadhani matendo mabaya yanatendwa kwa wapinzani tu. Si ninyi mlinyamaza wakati wa kibiti? Unataka Pengo aongee nini kuhusu ben?
Nimeamini jinsi chuki inavyoweza kujengwa miongoni mwa wananchi hata mauaji kama yale ya Rwanda yakatokea. Unavyotumia maandishi yako kuhalalisha uovu kwa kulinganisha matukio unaonyesha chuki kwa wengibe na unaamsha chuki dhidi yako. Itoshe kusema tusiwe wajinga kiasi cha kusababisha tofauti za kiitikadi zitufanye tushangilie unyama, uonevu na ukatili kwa wengine. Uongozi wa kisiasa usitetewe kwa gharama ya maisha ya watu. Mnaemtetea hataishi muda mrefu nae atakufa. Laana ya matendo maovu kwa kisingizio cha kumtetea itaishi nasi muda mrefu. Ona Uganda waliomtetea Idd Amin wanateseka miaka mingi baadaye.
 

mlekulechoma

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
1,367
2,000
ameandika nini kisichojulikana. haya ni mastory ya siku zote, miaka yote, karne zote. Sidhani kama ana reflection ya kinachoendelea hapa kuwa akina Ben wamepotezwa na mtu kulinda ufalme wake, NEVER!
Kwani Pengo aliwahi mwajiri huyo Ben8? mbona mwajiri wake yuko kimyaa?
 

Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,809
2,000
Ametaka waombewe ili 'watubu na kubadilika'.
Kuna bomoa bomoa, sidhani kama zinawaacha watoto salama. Wahusika wachukue hatua.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom