Karatasi za ku print matangazo

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,818
7,106
Samahani sana wakuu. Mnisaidie kutambua jina la zile karatasi zinazotumika ku print matangazo na kubandikwa kwenye kuta alafu hata mvua ikija haziloi wala wino hauvuji. Nahitaji msaada please
 
Back
Top Bottom