Karatasi ya kupigia kura-ni siri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karatasi ya kupigia kura-ni siri?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by newmzalendo, Oct 19, 2010.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  KARATASI YA KUPIGIA KURA-NI SIRI?
  kabla ya mtihani wa kumaliza shule huwa kuna Mock exams,hii inamuandaa mwanafunzi kujua mtiahani utafananaje etc,pia kuna past papers,hii pia inajenga uzoefu wa mazingira.

  ni jambo jema kwa tume ya uchaguzi kutoa sample copies za kupigia kura,ili zichapwe katika magazeti,wananchi wajue kuwa mgombea uraisi picha yake itakuwa upande gani,mbunge na diwani,ili ukiingia tu ktk kupiga kura hupotezi muda ,kama ni upande wa kulia,kushoto wa karatasi ,fasta unapiga kura bila kupoteza muda.

  tukumbuke ktk vituo vya kupiga kura kutakuwa na Polisi,kuna baadhi ya watanzania wanaogopa magwanda ya police,etc,watakuwa na uwoga wa mazingira,hata ktk swala zima la kampeni,inakuwa rahisi kupiga kampeni,kuwa ukiingia tu wewe cheki kulia utaona mgombea wako,

  Magazeti ya chama,UHURU na mzalendo,Daily news na mengineyo yangeweza kuprint hizi templates za karatasi za kupigia kura bila kusahau magazeti yetu ya uhakika Tunayajua :)
   
 2. S

  Subira Senior Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  my dear, karatasi hizi sio siri na zikomitaani hizo sampuli zake kwa wingi, tumeonyeshwa kwa makini na kuelezwa jinsi ya kupiga tiki isipitilize kwenye kibox au kura itakuwa imeharibika.
  kwenye itv inaonyeshwa vizuri kwa mtindo wa kuigiza. kwa hiyo uko wazi kabisa na umenifurahisha ila public awareness ndio ndogo nadhani.
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  sijaziona,mtu mwenye nayo aiweke sample on JF,mbona magazeti hayajatoa hata sample moja?Editor wa gazeti la Mwananchi yupo wapi? :biggrin1:
   
 4. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,227
  Likes Received: 1,153
  Trophy Points: 280
  Ba-ndugu tembelea ofisi za serikali za mitaa wamezibandika kuonyesha jinsi zilivyo(Urais,Ubunge na Udiwani)
  Ila tatizo moja niliyoona ni kuwa karatasi hizi za mfano zinatunatumika vibaya kwa makusudi /kwa kutokuju na baadhi ya watu.
  Watu hawa huweka alama mbili tofauti Ndiyo na Hapana kwenye makaratasi haya ya mfano mbele ya picha za wagombea na hii inaonekana kwa baadhi ya maeneo inafanywa kwa makusudi ya kuwa changanya wapiga kura wasiojua kusoma/wenye uelewa mdogo.

  Na kuwa na alama mbili tofauti kwenye karatasi moja ya Urais/ubunge/udiwani tayari hii ni kura iliyoharibika.
   
Loading...