Karata waliocheza CHADEMA kwenda kujiweka karantini imewalipa?

APA CHICAGO

Senior Member
Oct 20, 2019
141
250
Chadema walipo amua kufanya maamuzi ya kujiweka quarantine ili kujikinga na kuwakinga wawapendao na virus vya COVID-19. Walifanya jambo jema lakini pia ilikuwa na kitu kinaitwa political gain.

Bahati mbaya sana kwa siku 14 za quarantine ya CHADEMA hakuna Mbunge aliyepoteza maisha hadi walipo rudi bungeni hivyo political gain hawakuipata.

Bahati mbaya pia ni kuwa quarantine ya CHADEMA imeacha majeraha ndani ya chama. Kwani kupitia maamuzi ya quarantine kuna baadhi ya wabunge wa CHADEMA hawakukubaliana nayo wengine wakaamua kuendelea na vikao kama kawaida bila kujali zuio la Chama chao.

Ukweli ni lazima usemwe; hata kama ni mchungu kiasi gani. Karata ya kujiweka quarantine kwa wabunge wa CHADEMA haikuwalipa kama walivyotarajia.
 
macson3

JF-Expert Member
Nov 10, 2017
1,003
2,000
Wamefail vibaya.
Michango itakua kidogo kwenye huu uzi maana hautawaona,na wakija hawatajikita kwenye hoja zaidi ya matusi.
 
kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,135
2,000
APA CHICAGO,

Inaonekana hukuelewa hata kidogo dhana ya Chadema kuwaweka wabunge wao Quaranteen. Lengo lilikuwa ni kutaka kuwatahadharisha wananchi juu ya janga hili la Corona na kuwaweka wazi zaidi kuwa wasiamini kauli za serikali na hivyo wachukue tahadhari na kujikinga na Covid-19, na wao wakaonyesha mfano kama wabunge na ndio maana utaona kipindi hicho walivyoondoka tu bungeni tu watanzania wengi walivaa barakoha, wengi wao walifuata ushauri wa Chadema kwa kufanya kitu inayoitwa "Slowdown" maduka yakafungwa kariakooo na kila mahali, uchumi ukaanza kuyumba , Jiwe na system yote ikachanganyikiwa nadhani uliona vituko vilivyofuata vya akina Job na kundi lake.

Hili la wabunge kuhama na kutofuata masharti ya chama ni sawa sawa na mke wako anapoanza kuchepuka kwa tamaa ya wanaume siku akinogewa akataka kuondoka ...atatatafuta kisingizio chochote kusudi muachane tu
 
Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
10,249
2,000
Imewalipa vibaya..
Chadema walipo amua kufanya maamuzi ya kujiweka quarantine ili kujikinga na kuwakinga wawapendao na virus vya COVID-19. Walifanya jambo jema lakini pia ilikuwa na kitu kinaitwa political gain.

Bahati mbaya sana kwa siku 14 za quarantine ya CHADEMA hakuna Mbunge aliyepoteza maisha hadi walipo rudi bungeni hivyo political gain hawakuipata.

Bahati mbaya pia ni kuwa quarantine ya CHADEMA imeacha majeraha ndani ya chama.Kwani kupitia maamuzi ya quarantine kuna baadhi ya wabunge wa CHADEMA hawakukubaliana nayo wengine wakaamua kuendelea na vikao kama kawaida bila kujali zuio la Chama chao.

Ukweli ni lazima usemwe hata kama ni mchungu kiasi gani? Karata ya kujiweka quarantine kwa wabunge wa CHADEMA haikuwalipa kama walivyotarajia.
 
Daddo

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,352
2,000
Inaonekana hukuelewa hata kidogo dhana ya Chadema kuwaweka wabunge wao Quaranteen. Lengo lilikuwa ni kutaka kuwatahadharisha wananchi juu ya janga hili la Corona na kuwaweka wazi zaidi kuwa wasiamini kauli za serikali na hivyo wachukue hatua za kujikinga na Covid na wao wakaonyesha mfano kama wabunge na ndio maana utaona kipindi hicho walivyoondoka tu bungeni tu watanzania wengi walivaa barakoha, wengi wao walifuata ushauri wa Chadema kwa kufanya kitu inayoitwa "Slowdown" maduka yakafungwa kariakooo na kila mahali, uchumi ukaanza kuyumba , Jiwe na system yote ikachanganyikiwa nadhani uliona vituko vilivyofuata vya akina Job na kundi lake.

Hili la wabunge kuhama na kutofuata msharti ya chama ni sawa sawa na mke wako anapoanza kuchepuka kwa tamaa ya wanaume siku akinogewa akataka kuondoka ...atatatafuta kisingizio chochote kusudi muachane tu
Msema kweli mpenzi wa Mungu, kwa ile movie CDM mission yao ilifeli sana. Wangeweza kupata credit kidogo Kama kweli kungetokea kifo kingine bungeni ama baada ya karantini ile wasingerudi bungeni Tena.
Hapa umejaribu kujenga hoja lakini bado haina ukweli wowote. Refer tamko na kauli za viongozi wakati wanatekeleza mkakati wao. Hakuna hata mmoja aliyesema tunafanya haya ili kuwahamasisha wananchi wavae barakoa ama wajikarantini.

Kibaya zaidi wakatekenywa na RC Makonda kuhusu kuwakamata kama hawatarudi bungeni, matokeo yake baadhi yao wakaanza kuropoka kwamba Kama ni dsm wapo sana tu wanakula bata ajaribu kuwakamata aone cha Moto.
 
APA CHICAGO

Senior Member
Oct 20, 2019
141
250
APA CHICAGO,

Inaonekana hukuelewa hata kidogo dhana ya Chadema kuwaweka wabunge wao Quaranteen. Lengo lilikuwa ni kutaka kuwatahadharisha wananchi juu ya janga hili la Corona na kuwaweka wazi zaidi kuwa wasiamini kauli za serikali na hivyo wachukue tahadhari na kujikinga na Covid-19, na wao wakaonyesha mfano kama wabunge na ndio maana utaona kipindi hicho walivyoondoka tu bungeni tu watanzania wengi walivaa barakoha, wengi wao walifuata ushauri wa Chadema kwa kufanya kitu inayoitwa "Slowdown" maduka yakafungwa kariakooo na kila mahali, uchumi ukaanza kuyumba , Jiwe na system yote ikachanganyikiwa nadhani uliona vituko vilivyofuata vya akina Job na kundi lake.

Hili la wabunge kuhama na kutofuata msharti ya chama ni sawa sawa na mke wako anapoanza kuchepuka kwa tamaa ya wanaume siku akinogewa akataka kuondoka ...atatatafuta kisingizio chochote kusudi muachane tu
Mkuu kasenene umenifurahisha sana kwenye " Aya yako ya mwisho" Unasema Mke akianza kuhepuka nje ya ndoa akinogewa atatafuta sababu yeyote ili muachane.Kwa hiyo hao walikuwa wameanza kuchepuka hatimaye walianza kunogewa??
 
APA CHICAGO

Senior Member
Oct 20, 2019
141
250
Wanachadema mkubali ukweli huu, Endapo ndani ya siku 14 za Quarantine ya wabunge wa chadema ingetokea akapoteza maisha Mbunge mmoja au wawili " Political gain" ambayo walikuwa wanatengeneza ilikuwa kubwa sana.Bahati mbaya hili halikutokea.Hata kama mtakataa lakini huu ndo ukweli.
Kuhusu Lwakatale namshauri ale pension yake tu.CCM imejipanga Bukoba mjini
 
kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,135
2,000
Msema kweli mpenzi wa Mungu, kwa ile movie CDM mission yao ilifeli sana. Wangeweza kupata credit kidogo Kama kweli kungetokea kifo kingine bungeni ama baada ya karantini ile wasingerudi bungeni Tena.
Hapa umejaribu kujenga hoja lakini bado haina ukweli wowote. Refer tamko na kauli za viongozi wakati wanatekeleza mkakati wao. Hakuna hata mmoja aliyesema tunafanya haya ili kuwahamasisha wananchi wavae barakoa ama wajikarantini.

Kibaya zaidi wakatekenywa na RC Makonda kuhusu kuwakamata kama hawatarudi bungeni, matokeo yake baadhi yao wakaanza kuropoka kwamba Kama ni dsm wapo sana tu wanakula bata ajaribu kuwakamata aone cha Moto.
Hakukuwa na njia nyingine zaidi ya kuwatumia wabunge kupeleka ujumbe wa kujikinga na ugonjwa wa corona. hivyo Chadema waliona mbali saana. Kwani kwa kugoma tu kuingia bungeni nchi ilisamama, mamlaka zoote zikachanganyikiwa, hata wananchi ambao walikuwa bado hawajaelewa madhara ya corona wakaelewa... Swala la kufa mbunge bungeni halikutokea kwani Bunge nalo haraka haraka walibadilisha utaratibu wa kuendesha bunge wakafuta "session" ya asubuhi wakabakiza "session"ya jioni.... Swala Bashite cjui imekuwaje ukalileta hapa, kwanza kabisa yule sio timamu kwanza ni nadra saana kusikia mtu makini akimzungumzia mtu kama yule....lakini pamoja na hayo hivi ukiwa unaendesha gari lako barabarani kichaaa akatokea na kuanza kugonga kioo cha gari yako kwa jiwe je utamuacha aendelea kugonga au utachukua hatua..sasa hatua za kuchukua zinategemea na akili ya mhathirika wa tukio,yupo atakayemlamba vibao, yupo atakae mtusi na mwingine ataishia kumsukumia mbalia lakini sio kumuacha tu hivi hivi..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom