Karani wa mahakama asimamishwa kazi kwa kuvaa nguo fupi na inayobana

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,251
Karani wa mahakama jijini Kampala Uganda, amesimamishwa kazi na kufutiwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kosa la kuvaa nguo fupi na inayobana kinyume na maadili.

Mytake: Bado sijaona nguo fupi hapa, nijuavyo nguo kama inafika kwenye magoti siyo fupi tena.
Ug.jpeg
 
yawezekana nguo aliyo kuwa amevaa siyo iyo, ila picha imechukuliwa ya muhusika.

yaani uwe na kosa uwekwe mbele kupigwa picha kama ushahidi ubebe na kipima joto na kuweka pozi.

tena nyuma ya ukuta wa nyumba ya mtu, ntakuwa wa mwisho kuamini wamemuhukumu kwa ilo vazi.
 
Idd amin >>>museven = kizazi cha nyoka hata ukikitohoa, huwezi pata kizazi cha mjusi!...nyoka atabaki nyoka tu sasa hapo nguo fupi iko wapi?! kama si udikteta!
 
Back
Top Bottom