Karanga zimenifanya nijae mindevu

Deposit transaction in the amount of 17000.00 TZS via epayment rejected by operator!
 
Haya maajabu bado yanaenelea tu kuonekana Tanzania,Wazungu njooni uku muone maajabu ya waafrika
 
Huyo jamaa uliyemweka picha yake kwenye profile yako hana ndevu ila naamini unamhusudu kama kidume.
Trump hana ndevu ila kama umepewa na Mungu akili za kuandika utapima mwenyewe ni mwanaume mwenye mapungufu au lah!
Mi naamini mtu anayetegemea afuge ndevu watu ndo wamjue ni mwanaume,atakuwa na mapungufu mno.Mwanaume ni matendo siyo ndevu
Kwani wewe ndevu huzitaki,utafiti unaonyesha mwanaume asiyekuwa na ndevu anamapungufu kidogo.
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Huyo jamaa uliyemweka picha yake kwenye profile yako hana ndevu ila naamini unamhusudu kama kidume.
Trump hana ndevu ila kama umepewa na Mungu akili za kuandika utapima mwenyewe ni mwanaume mwenye mapungufu au lah!
Mi naamini mtu anayetegemea afuge ndevu watu ndo wamjue ni mwanaume,atakuwa na mapungufu mno.Mwanaume ni matendo siyo ndevu
 
Wakuu ni mwezi Sasa Kila siku ninakula karanga robo kilo ,nimejikuta naongezeka mindevu Kama Osama
Je ni nn kipo kwenye karanga kinachopelekea ndevu kujaa?

MBONA MI NAONA UMEONGEZEKA MINYWELE KICHWANI, AU HUYU SIO WEWE

1569003306154.png
 
Huyo jamaa uliyemweka picha yake kwenye profile yako hana ndevu ila naamini unamhusudu kama kidume.
Trump hana ndevu ila kama umepewa na Mungu akili za kuandika utapima mwenyewe ni mwanaume mwenye mapungufu au lah!
Mi naamini mtu anayetegemea afuge ndevu watu ndo wamjue ni mwanaume,atakuwa na mapungufu mno.Mwanaume ni matendo siyo ndevu
Trump ndevu anazo ila anazikwangua kila siku
 
Huyo jamaa uliyemweka picha yake kwenye profile yako hana ndevu ila naamini unamhusudu kama kidume.
Trump hana ndevu ila kama umepewa na Mungu akili za kuandika utapima mwenyewe ni mwanaume mwenye mapungufu au lah!
Mi naamini mtu anayetegemea afuge ndevu watu ndo wamjue ni mwanaume,atakuwa na mapungufu mno.Mwanaume ni matendo siyo ndevu

Nani aliyekwambia Trump hana Ndevu? Ujuaji mwingi mbeleyake kuna Giza.

Au unataka kusema Cristian Ronaldo hana Ndevu kwasababu tu zake hazionekani wakati za Messi zinaonekana.

Kunyoa Ndevu haimaanishi Kuwa huna Ndevu! Ni Sawa na January Makamba anayetembea na Kipara Muda wote haimaanishi Kuwa hana Nywele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom