Karamagi Na Kikao Cha Wanakagera

ahaa, huyo mama Rita watu wanamnyanyasaga bure, pamoja na matatizo yangu na hawa jamaa wa CCM, I know this lady is smarter and less evil kuliko midubwana mingi sana kwenye CCM. Sasa hiyo ya kuachana na mume wake sisi hiyo haituhusu kabisa maana hata wakati wanatongozana, kuchumbiana na kuoana sie hatukuhoji kabisa. Labda kama amefanya some sexual abuse hapo tutalalama, otherwise tunyamaze kabisa kama hatuwezi kukabiliana naye kama mbunge wa kawe au waziri mdogo wa nyumba.

Jamani mimi naomba niweke sawa kuhusu huyu Ritta.

Ritta anayezungumziwa hapa sio Ritta Mlaki jamani ni yule Ritta Pulson, mwenye bench - mark production na ni yele anayemiliki Bongo star search (BSC). Kama unataka kumjua vizuri fuatilia kipindi cha bongo star search na utamuona wanamwita madame Ritta.

NA SIO KAMA BAADHI YETU TULIVYOELEWA KUWA NI RITTA MLAKI SIO YEYE JAMANI.
 
Karamagi ni mfanyabiashara mkubwa sana hata kabla ya kuwa mbunge na Waziri. Pesa zake ndizo zilizomwingiza kwenye siasa, kwa hiyo wala sishangai kusikia kachangia kiasi hicho kikubwa cha fedha!

Wanasiasa wetu wa siku hizi wote ni wafanyabiashara. Yale maadili ya viongozi ya enzi za Nyerere ya kiongozi kutoruhusiwa kuwa hata na nyumba ya kupangisha hayapo tena na yameshapitwa na wakati.

Hivi nani amesema kuwa wanasiasa wa Tanzania lazima wawe maskini. Tafadhalini hebu angalieni katiba ya nchi hii kama inawabagua wafanya biashara na uongozi wa nchi. Kila mtu anahaki sawa kwa mujibu wa katiba ya JMT.
 
Hakuna anayetaka mtu yeyote awe maskini wakiwemo wanasiasa. Kinachogomba hapa ni pale mwanasiasa anapoingia kwenye uongozi akiwa hoi choka mbaya, lakini baada ya siku mbili unaambiwa ana mamiradi, ameporomosha majumba anakuwa miongoni mwa akina Mengi ghafla bin vuu, hii ni wazi kuwa anakuwa ametuibia na hatuna sababu ya kuchekelea utajiri wake huo. Inawezekana tusiwe na chochote cha kumfanya as raia, lakini tuna haki angalau ya kumnunia.
 
Hapa anayeongelewa ni Ritta Pulson (yule wa BSC)

Sasa inabidi muweke sawa maana wengine huyu Rita wa BSC hatumjui na kwa kweli hatuna haja ya kumjua! Isitoshe hii ni thread ya siasa, sasa ukiongelea Rita tuna haki ya kumfikiria Rita mwanasiasa na sio Rita mchezesha disco!
 
Game Theory,Kitila,Pundamilia,DomoKaya,....

Hivi matajiri kama Bakhressa,Mohamed Dewji,Yussuf Manji,Diallo,... wako involved kiasi gani katika masuala ya kijamii[elimu,maji,afya,mazingira] huko walikotokea?
 
Hao watu ulio wataja hawafanyi vitu kama hamna media.....!
Labda huyo Diallo kwani simfahamu sana lakini hao wengine uiondoa kwene yanga na simba sija wahi lkusikia....hao wate wanatakiwa kuchungiuzwa alafu huyo Dewji si alishawahi kuwa na kashfa ya kukwepa kodi kipindi cha nyuma?
 
Hivi nani amesema kuwa wanasiasa wa Tanzania lazima wawe maskini. Tafadhalini hebu angalieni katiba ya nchi hii kama inawabagua wafanya biashara na uongozi wa nchi. Kila mtu anahaki sawa kwa mujibu wa katiba ya JMT.

Katiba inaruhusu kila mtu, hata wachungaji pia wanaruhusiwa kushika nafasi mbalimbali ktk nchi. nyinyi si mnamuona mama Rwakatare
 
Sasa inabidi muweke sawa maana wengine huyu Rita wa BSC hatumjui na kwa kweli hatuna haja ya kumjua! Isitoshe hii ni thread ya siasa, sasa ukiongelea Rita tuna haki ya kumfikiria Rita mwanasiasa na sio Rita mchezesha disco!

Ritta aliingizwa humu cos alimwakilisha Mh. Mengi katika kikao cha Wahaya, hii ndio iliyomfanya ajadiliwe humu kwenye hii mada.
 
Hivi nani amesema kuwa wanasiasa wa Tanzania lazima wawe maskini. Tafadhalini hebu angalieni katiba ya nchi hii kama inawabagua wafanya biashara na uongozi wa nchi. Kila mtu anahaki sawa kwa mujibu wa katiba ya JMT.

Hakuna yeyote aliyesema kwamba wanasiasa wa Tanzania wawe maskini. Tusichokitaka ni kuwa matajiri kwa kupokea rushwa, kutumia nyadhifa zao kujilimbikizia mali. A la Mkapa style kufanya biashara akiwa Ikulu, kuhusika na ununuzi wa Rada ambao inaelekea $12 millioni alizopokea muhindi pia zimeingia kwenye account za watu wengine, hatujajua kama kuna account ya Mkapa pia, kumiliki Kiwira Coal Mining katika mazingira ya kutatanisha, kusaini mikataba mibovu ya madini isiyo na maslahi kwa Tanzania, wakati huo huo wakipewa ushareholder katika makampuni hayo.

Kama mwanasiasa ni tajiri kupitia njia za halali hatuna matatizo naye. Watueleze tu utajiri huo wameupata vipi, kama ni wa kurithi, kufanya biashara (watueleze biashara ya aina gani), kama ni wa kupitia ajira zao (mishahara tunaijua haiwezi kumfanya yeyote akawa bilionea). Hatuna matatizo ya kuwaona wanasiasa matajiri na walioupata utajiri wao kwa njia za halali. Wengi wa hawa wanasiasa tunawajua kwa miaka mingi na hali zao kifedha zilikuwa ni za kawaida kabisa, je katika hii miaka michache wamefanya kipi kilichowawezesha kuwa matajiri wakubwa kiasi hicho!
 
Heshima kwako Mkuu,
This is very clear in BLACK AND WHITE!
tunacho jadiri si utajiri wake,ila kama kiongozi wa serikali kapataje hela zote hizo na kuchanga kwenye halfa au ndio kujisaficha na kusign mikataba mibovu na kuendelea kuteketeza uchumi wa nchi hii.
Kwani hii mikataba amesign bure?Kapata pesa humo!ndio maana kenda huko huko ili tusijue kilcho zungumzwa
.
Hivi MKJJ uko wapi si uanzishe petition ya huyu bwana kujiuzuru tunaweza kufanikiwa kuliko ile ya msorwa
 
Sanda hapo umenena bora ajiuzuru ili akaendeshe hiyo miradi yake ambayo wengi humu wanamsifia anayo na akauendeleze huo utajiri wake vizuri na pia AWEZE KULIPA KODI KAMA MTANZANIA WA KAWAIDA maana kwa sasa sijui hizo biashara zake kama analipia KODI.
 
Mkuu Sidhani kama huyu bwana analipa hiyo kodi,
Maana kama hayo makampuni yake yangekua yana lipa kodi basi hizo shule huko kwao zingekua kama mchanga kwa wingi wake maan makampuni hayo ndio yanashikilia uchumi wa nchii hii kwa % nyingi sana kwa kupitia mizigo yote inayopitia bandari hii yetu.
Hata wafanya kazi wake wanajua mkubwa nani ndio maana wana denguua...! na kuchelewesha mizigo ya watu bila ya sababu maalum.
lkn we ngoja tu,yote yaja kuisha yote haya..!jst a matter of time
 
Makubwa!!!! Kuchangia milioni 20 ni takribani Senti 56 kwa kila mtanzania!!! (watu milioni 36) au mishahara ya miaka 20.8 (kwa mfanyakazi wa kima cha chini shs 80,000/= kwa mwezi). Kweli huyu jamaa tajiri. Tumeliwa!!!
 
Jamani karamagi ni mfanyabiashara, kwahiyo msishangae sana anaweza kutoa kiasi hicho cha fedha.

Jamani Nyinyi wanzania mna nini????? Mbona hivyo jamani, hata kama mfanya biashara, Swali je hizo biashara zake anazilipia kodi?????????.
 
Mkuu mbona unang'ang'ania mambo,
huyo bwana hata kama analipa kodi si sawa na anachopaswa kulipa na huwenda halipi kabisa.
Alafu mie ndio kwanza hapa JF nasikia huyu bwana tajiri,sikuzote alikua wapi kuchangia jamii kama matajiri wenzie Mfano Mengi wa IPP ambaye anachangia mpaka ujenzi wa misikiti wakati siyo yy au mtu mwenye nasaba naye ataenda kuabudu humo!
Huyu ndio tajiri wa kitanzania ninaye mfahamu mimi
 
Naona michango inayoonekana inazidi 1.4Billion !mill500+400+200+150+450+300+200=2.2Billion Je ndio hivyo wadau??
- Prof. Rweikiza wa Marekani- Sh. milioni 500.

-Prof.Rutashobya wa Chuo kikuu cha Havard-Milioni 400.

-Prof. Rweyimamu wa Afrika Kusini hakuweza kuja lakini ametuma hundi ya USD 200,000.

-Prof. Rwebangira yeye amemtuma mkewe Kokushubira na yupo na Cash ya Milioni 150,000 kwa kuwa alichelewa ndege ifwakti akitokea kutoa matibabu Canada kwa mgonjwa anaye mhudumia huko.

-Prof. Kokubenza ambaye alituma ujumbe wa simu na amedai kuwa ameshikwa na mafua amesema hakuna tatizo hatumwe mtu aende London akachukue Milioni 450.

-Dk. Kagirwa huyu alikuwa Mzumbe miaka ya 90 lakini sasa yupo chuo Kikuu cha Oxford amesema atatoa milioni 300.
-Dk. Muganyizi ametoa milioni 200.

-Dk. Mchunguzi ambaye sasa anamalizia Reseach yake ili aupate Uprofesa amesema yeye na mkewe ambaye ametunukiwa PhD juzi hapo mlimani pamoja na mtoto wa Rwechungura atatoa milioni 200.
 
Hahaha... achana na nshomile bwana! just mentioning! mil. 500 duuuuu?? utadhani wanatoa sh hamsini mtoto ale BG.

Mbarikiwe kwa kutoa lakini!
 
Back
Top Bottom