Kweli hawa nshomile ni kiboko, mahela wanayo!
Kitila,
Ebu fikiria hizo pesa zingechangwa kwa ajili ya kwetu kule Singida? Mkoa ungeacha kuwa na wasomi Mtanzania na Kitila tu (utani) na badala yake tungemwaga mashule ili hata wadogo zetu wafaidi matunda ya uhuru.
Lakini ndugu zetu Wahaya wametuzidi kweli kweli maana wanaendeleza kulikoendelea tayari, badala ya kutusaidia na wengine tuendelee.