KARAMAGI kuanzisha kampuni ya mawasiliano, inaitwa 4G MOBILE LIMITED

Mtagundua kitu kimoja, mafisadi wameaumua kumiliki vyombo vya habari na mawasiliano ili waweze kuamua nini msikie na nini muweze au msiweze kuwasiliana. Mnakumbuka kampeni ya changia chadema kwa sms ilikumbwa na nini?

mkuu hata wasi wasi wangu uko hapo tu!
 
huku ndio ilikuwa mahali pake...kule kwenye politics aliingia kutanua wigo wa biashara zake,hakukuwa sehemu yake sahihi
 
Nyie hivi mnataka nani awekeze Tz?

Labda waulize wewe! Mimi nimeshindwa kabisa kuwaelewa Watanzania. Hawaja jema. Kila kitu kwao ni UFISADI na kila Mtu kwao ni FISADI hasa akiwa katika mkondo wa maendeleo, mafanikio n.k.

Ushauri kwangu kwa wanahisa wa Kampuni; kwanza nawapongeza na pili nawashauri wafikirie mara mbili juu ya hili jina walilotumia 4G Mobile Ltd. Kuna leo na kesho. Na siku zote ugunduzi unakwenda mbele. Juzi 3G ndo ilikuwa the latest technology jana mchana tayari ikawa imeishakuwa kwenye kundi la technologia ya kale (chakavu=obsolete). Sasa kesho ikija 6G na keshokutwa ikawa imefika 11G watapata kazi sana na watahitaji kuwekeza kila mara katika Brand Positioning au kubadili jina kabisa.
 
Katika harakati za kujikwamua na maisha aliyekuwa mbunge wa Nkenge Nazir Mustafa Karamagi(CCM) na Salim Mohammed Salim wameamua kuanzisha kampuni ya mawasilino kuwa mshindani wa Voda,Tigo,Airtel,zantel,sasatel,n.k.
Binafsi naona wamedhamiria kuitumia nafasi ya kuwa mwekezaji wa ndani Tanzania. Iki ni chanzo kingine kwa serikali kuweza kupata kodi kwa kuwa makampuni haya ya mobile services yanalipa kodi ya Kutosha.
Kampuni imesajiliwa kwa jina la 4G mobile ltd,yenye anuani P.o Box 40426 Dar es Salaam.
Wanahisa ni wafuatao na hisa zao
1. Nazir Mustafa Karamagi (57.5)
2. Salim Mohammed Salim (20.8)
3. Said Rashid Othman (13)
4. Joseph Mlangila Mfugale (0.8)
5. Vitus Joseph Mfugale(0.006)
6. Kisia Omari Almassi (0.006)
7.Amos george Khoma (0.006)
Selleman S. mvungi (0.06)
8. Hama rasshid Mohamed(0.6)
9. Zacharia Hans Poppe (5.9)
10. Shaa Hassan Mahady
11. Semiit CO.ltd (0.006)
12. Liberty Commercial Agency(0.03)
Kutokana na sheria za mawasiliano,sec.8 Electrnic and and Poastal communication Act No.3 2010 raia anaweza kushauri vyovyote kuhusu ndani ya siku 14 kwa ajili ya kujiridhisha kuwa TCRA itoe leseni au la na wazo ilo litafikiriwa, email dg@tcra.go.tz.
Nafurahi kuleta ujumbe huu kwa jamii yangu na familia yetu ya JF.
Kwa kupata mshindani huyu, nadhani gharama za mawasiliano zitazidi kushuka na mwananchi kupunguza makali ya maisha kwa kuwa asilimia 10 ya matumizi ya kila siku ya watu waishio katika majiji ya Tanzania huishia ktk mawasiliano. Nawasilisha.

TCRA hawana lolote, gharama za simu hapa kwetu bado zipo juu sana na tcra imelala tu.
Gharama za simu ni kubwa kuliko hata zile za nchi zilizoendelea.
Siasa tu bongo...!
 
Katika harakati za kujikwamua na maisha aliyekuwa mbunge wa Nkenge Nazir Mustafa Karamagi(CCM) na Salim Mohammed Salim wameamua kuanzisha kampuni ya mawasilino kuwa mshindani wa Voda,Tigo,Airtel,zantel,sasatel,n.k.
Binafsi naona wamedhamiria kuitumia nafasi ya kuwa mwekezaji wa ndani Tanzania. Iki ni chanzo kingine kwa serikali kuweza kupata kodi kwa kuwa makampuni haya ya mobile services yanalipa kodi ya Kutosha.
Kampuni imesajiliwa kwa jina la 4G mobile ltd,yenye anuani P.o Box 40426 Dar es Salaam.
Wanahisa ni wafuatao na hisa zao
1. Nazir Mustafa Karamagi (57.5)
2. Salim Mohammed Salim (20.8)
3. Said Rashid Othman (13)
4. Joseph Mlangila Mfugale (0.8)
5. Vitus Joseph Mfugale(0.006)
6. Kisia Omari Almassi (0.006)
7.Amos george Khoma (0.006)
Selleman S. mvungi (0.06)
8. Hama rasshid Mohamed(0.6)
9. Zacharia Hans Poppe (5.9)
10. Shaa Hassan Mahady
11. Semiit CO.ltd (0.006)
12. Liberty Commercial Agency(0.03)
Kutokana na sheria za mawasiliano,sec.8 Electrnic and and Poastal communication Act No.3 2010 raia anaweza kushauri vyovyote kuhusu ndani ya siku 14 kwa ajili ya kujiridhisha kuwa TCRA itoe leseni au la na wazo ilo litafikiriwa, email dg@tcra.go.tz.
Nafurahi kuleta ujumbe huu kwa jamii yangu na familia yetu ya JF.
Kwa kupata mshindani huyu, nadhani gharama za mawasiliano zitazidi kushuka na mwananchi kupunguza makali ya maisha kwa kuwa asilimia 10 ya matumizi ya kila siku ya watu waishio katika majiji ya Tanzania huishia ktk mawasiliano. Nawasilisha.

Over 97% by 4 people. Wengine wamebebwa kuongeza idadi?
 
Labda waulize wewe! Mimi nimeshindwa kabisa kuwaelewa Watanzania. Hawaja jema. Kila kitu kwao ni UFISADI na kila Mtu kwao ni FISADI hasa akiwa katika mkondo wa maendeleo, mafanikio n.k.

Ushauri kwangu kwa wanahisa wa Kampuni; kwanza nawapongeza na pili nawashauri wafikirie mara mbili juu ya hili jina walilotumia 4G Mobile Ltd. Kuna leo na kesho. Na siku zote ugunduzi unakwenda mbele. Juzi 3G ndo ilikuwa the latest technology jana mchana tayari ikawa imeishakuwa kwenye kundi la technologia ya kale (chakavu=obsolete). Sasa kesho ikija 6G na keshokutwa ikawa imefika 11G watapata kazi sana na watahitaji kuwekeza kila mara katika Brand Positioning au kubadili jina kabisa.
Mkuu umeongea kitu, ni bora kuwaungamkono hawa ndugu zetu
 
Ni nzuri endapo ni nzuri na itakuwa mbaya kama ni mbaya maana waweza kuwa mkakati zaidi tunavyojua,..Karamaji,RA,EL hawa wako pamoja always na unapomwona mmoja jua mwingne yuko nyuma ya mwenzie na mwingne yuko nyuma yao
 
Tatizo kuna mijitu mi haters kweli.. Hayo makampuni ya nje yanakwepa kodi na kuchonga madawati mawili matatu kwa kutumia miti yetu ambayo inathamani kubwa sana (kuliko tunavyojua wachomamkaa sisi) alafu eti watanzania wanaanzisha kampuni ya telecom watu mnaponda. Hela zenu hela zenu, mbona serikali inapoteza 600 billion TRA kwajili ya exemption hamsemi... Hizo ni EPA ngapi? Acheni ujinga... Big Up Karamagi muzee wa mashortie wa watu. Ukimgusa demu wangu lakini nakupoteza...live.. Just kidding. Acheni watanzania wawekeze ati!
 
Hawa ndio Lion ShareHolders!...

Jamaa ameamua ku'diversify biashara ili aendelee kuwa bouyant!
Anyway, this is promising-good News to we Consumers!

Hii kampuni inawezekana Karamagi ameingizwa mkenge bila kujua hao share holders wote ni wale walioleta vurugu kwa kuwafukuza wamarekani wa Talktel communications ltd na wameamua kubadili majina kwa sababu PR yao na TCRA haikuwa nzuri baada ya kugombana kwa karibia miaka mitatu sasa na wamarekani investors wa Talktel communications ambao waliwaandama kwa PI na kuwasingizia kuuza madawa ya kulevya ili wawapole kampuni kwa hiyo baada ya kusota sana sana naona wamewauzia share au Idea Kina karamagi na Bwana salim ili waweze kupata vijisenti sababu hili ni kundi la wababaishaji ndiyo maana unaona wamebaki na vipacent kidogo.
Jina la MH.Hamad Rashid Ameweka la mtoto wake,Jina la bwana Almas ameweka la mtoto wake,jina la suleiman Mvungi limeonekana kama lilivyo na vijana wa mfugalle majina yameonekana kama yalivyo ingawa alikuwa mmoja wameongezeka mfugalle wawili hawaq jamaa walikuwa na share hizihizi chache kwenye Kampuni ya Talktel lakini talktel walipokaribia kupata pesa za kuanza biashara wakiongozwa na Hamad radhid waliwaitia immigration na polisi kila siku na kuwa harass na kuwalazimisha wawapatie Share kubwa zaidi , Kwa hiyo Bwana Karamagi Nafurahi kwa kuwa na moyo wakutaka kuinvest nchini kama mzalendo pamoja na bwana salim na bwana Hanspope lakini kundi mlilonalo kuwa nalo makini ni kundi la wahuni na wametapeli watu wengi sana kwa kuwauzia share fake za Talktel communication wakiongozwa na Bwana ALMAS, MH hamad rashid na suleiman MVUNGI chukueni tahadhari nao wamejibadili kujiita 4G na ndio maana wengine wameficha majina ili isiwe soo baadae kwani kuna hatari watu watawafuata hukohuko 4G kuwadai na hivyo kuvunja heshima ya kampuni yenu na nyinyi wenyewe.
 
Wote ni mafisadi tukichukua CDM tunawafilisi wote waache tu wafungue.
lazima tuhoji walizichota wapi?
 
mkuu ulichokifanya hapa tofauti na kuikuza akili yangu zaidi umenipa asignment. Sasa una maana hata Hamad rashid si msafi?duh tuna kazi.
 
Na nyie mna wivu wa kutosha. Mwacheni aanzishe, nyie kila kitu fedha zenu fedha zenu. ahh tumechoka na uvivu huu

Wewe ni mpuuzi sana.Wivu uko wapi hapo.Asiyejui Karamagi ni mwizi ni nani.Mtuibie halafu tukisema mmetuibia mnasema wivu.Mtu mzima ovyooo.
 
Katika harakati za kujikwamua na maisha aliyekuwa mbunge wa Nkenge Nazir Mustafa Karamagi(CCM) na Salim Mohammed Salim wameamua kuanzisha kampuni ya mawasilino kuwa mshindani wa Voda,Tigo,Airtel,zantel,sasatel,n.k.
Binafsi naona wamedhamiria kuitumia nafasi ya kuwa mwekezaji wa ndani Tanzania. Iki ni chanzo kingine kwa serikali kuweza kupata kodi kwa kuwa makampuni haya ya mobile services yanalipa kodi ya Kutosha.
Kampuni imesajiliwa kwa jina la 4G mobile ltd,yenye anuani P.o Box 40426 Dar es Salaam.
Wanahisa ni wafuatao na hisa zao
1. Nazir Mustafa Karamagi (57.5)
2. Salim Mohammed Salim (20.8)
3. Said Rashid Othman (13)
4. Joseph Mlangila Mfugale (0.8)
5. Vitus Joseph Mfugale(0.006)
6. Kisia Omari Almassi (0.006)
7.Amos george Khoma (0.006)
Selleman S. mvungi (0.06)
8. Hamad rasshid Mohamed(0.6)
9. Zacharia Hans Poppe (5.9)
10. Shaa Hassan Mahady
11. Semiit CO.ltd (0.006)
12. Liberty Commercial Agency(0.03)
Kutokana na sheria za mawasiliano,sec.8 Electrnic and and Poastal communication Act No.3 2010 raia anaweza kushauri vyovyote kuhusu ndani ya siku 14 kwa ajili ya kujiridhisha kuwa TCRA itoe leseni au la na wazo ilo litafikiriwa, email dg@tcra.go.tz.
Nafurahi kuleta ujumbe huu kwa jamii yangu na familia yetu ya JF.
Kwa kupata mshindani huyu, nadhani gharama za mawasiliano zitazidi kushuka na mwananchi kupunguza makali ya maisha kwa kuwa asilimia 10 ya matumizi ya kila siku ya watu waishio katika majiji ya Tanzania huishia ktk mawasiliano. Nawasilisha.

Huyu Hamad Rashi Mohamed ni yupi jamani? Ni huyu mbunge wa Wawi huko Pemba au?
 
...............Nazir Karamagi.....nimekumbuka kipindi kile akijivua gamba pale Bungeni,baada ya taarifa ya tume teule ya bunge chini ya Dr Harrison Mwakyembe kuhusu Richmond na ndugu yake Dowans...............Jamani kwani siasa amekimbia kabisa? Maana CCM wanadai wanatakakutenganisha kati ya wafanyabiashara na wanasiasa....sasa hii imekaaje?

:yawn: Choka mbaya..............
 
Hongera wazawa kwa kutaka kuanzisha kampuni ya mawasiliano. Nitawaunga mkono mimi na ukoo wangu lazima tujiunge na kampuni yenu ili tupromote uwekezaji wa ndani.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom