Karamagi awataka mafisadi wa EPA kujisafisha

Status
Not open for further replies.

Sam

JF-Expert Member
Jun 6, 2006
415
89
Wazee weekend imeanza SLOW DOWN... Bajeti imepita ni nyama tu Dodoma labda mwakani mtamsikiliza sam angalau kidogo.
 
Wazee weekend imeanza SLOW DOWN...

Mh!
Amaa kweli!
Wasafishwe mara ngapi wakati KIKWETE M/KITI wao keshasema wao ni safi NA BUNGE LA JAMUHURI KURIDHIA HAYO?
Naona ngoma nzito!
Waitwe huko Bungeni mara baada ya kupewa mdhamana na MWEMA!
HAWA WATU BANA!
WANTAKA KUTUCHOSHA AKILI ILI TUKATE TAMAA!
 
Mh!
Amaa kweli!
Wasafishwe mara ngapi wakati KIKWETE M/KITI wao keshasema wao ni safi NA BUNGE LA JAMUHURI KURIDHIA HAYO?
Naona ngoma nzito!
Waitwe huko Bungeni mara baada ya kupewa mdhamana na MWEMA!
HAWA WATU BANA!
WANTAKA KUTUCHOSHA AKILI ILI TUKATE TAMAA!

Mzee weekend uko dunia gani?
 
Mzee weekend uko dunia gani?

Turkey wamefanya comeback nyingine dhidi a croatia na sasa wanakutana na Ujerumani nusu fainali!
Hata hivyo hata mimi naangalia utaratibu huo.
Kwasababu naona ni KUPARTY TU HUKO DM WEEKEND HII!
TENA KAMA KUNA WALIOPEWA CHAO BASI NDIO HAPATATOSHA KABISAA!
KWA HIO WATAKATA MAJI SANA NA SAFARI YA KUPELEKA PESA ZA UFISADI MAJIMBONI ILI KUWARUDISHA DM IMEANZA!
 
Mbona heading haiendani na kinacho jadiliwa humu? Im lost!

"Masatu is NOT FISADI!"

Mkapa na Karamagi nao wameapa hivyo. Daniel Yona kasema ataenda mahakamani. Rostam kesha shitaki.

Itakuwa wewe?

Usikonde babu, weekend hiyo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom