Mp19
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 259
- 715
Habarini!
Najua humu ndani wapo watumishi wa na mabosi wa vizara ya ujenzi na TEMESA.
Nimefanya survey ya juujuu tu ndani ya karakana hii iliyopo KEKO MWANGA karibu na MSD inayomilikiwa na serikali kwa 100% na kugundua mapungufu mengi.
Kimtazamo tu huwezi kuamini kuwa ndio garage kuu ya serikali, mazingira yako rafu, huduma rafu na watumishi wamechoka.
Serikali, hasa wizara inayohusika na TEMESA nendeni mkaikague kwa undani, tumeni vibaraka wakaikague kisirisiri muone kinachoendelea.
Kama kuifufua haiwekani basi muibinafsishe kuliko aibu ile.
Aaante.