Elections 2010 Karagwe vipi jamani? Mbona hamlet habari kuhusu ushindi wa chadema?

Capital

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,452
1,038
tunaomba wana jamvi mlioko Karagwe mtupe raha kwa kuleta taarifa za ushindi. Please
 
Karagwe matokeo hayajatangaazwa. wananchi wamechoka kusubiri matokeo. FFU watupa mabomu kila mahali kutawanya watu. Hii ni kadiri ya ITV
 
Karagwe vurugu...nilikuwa misled kabla na inaelekea CCM wanachukua kwa nguvu ya dola. Apologies
 
Karagwe FFU wanawapiga mabomu wananchi ambao wamelizingira jengo la Halmashauri hapo Kayanga. Hali ni tete sana na Wananchi hawa hawajazoea Mabomu. Taarifa za ndani ya Tume hapo Kayanga zinasema CCM na Blandes lazima watangazwe washindi kwani wanadai kuwa namzidi mgombea wa CHADEMA kwa kura 6500. Mgombea wa CHADEMA anadai kuwa wamemzidi wa CCM kwa kura 550. Hakuna anayekubali kushindwa. Polisi wameona ni heri watumie nguvu ili mradi Blandes wa CCM ashinde.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom