Karagwe vipi jamani? Mbona hamlet habari kuhusu ushindi wa chadema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karagwe vipi jamani? Mbona hamlet habari kuhusu ushindi wa chadema?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Capital, Nov 2, 2010.

 1. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  tunaomba wana jamvi mlioko Karagwe mtupe raha kwa kuleta taarifa za ushindi. Please
   
 2. nzitunga

  nzitunga Senior Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Karagwe matokeo hayajatangaazwa. wananchi wamechoka kusubiri matokeo. FFU watupa mabomu kila mahali kutawanya watu. Hii ni kadiri ya ITV
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Zaidi google!
   
 4. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karagwe vurugu...nilikuwa misled kabla na inaelekea CCM wanachukua kwa nguvu ya dola. Apologies
   
 5. a

  adera Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tupe "zaidi" google atupe link tafadhali
   
 6. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Matokeo bado FFU wametoka bukoba kuja kuwatisha wananchi
   
 7. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Karagwe FFU wanawapiga mabomu wananchi ambao wamelizingira jengo la Halmashauri hapo Kayanga. Hali ni tete sana na Wananchi hawa hawajazoea Mabomu. Taarifa za ndani ya Tume hapo Kayanga zinasema CCM na Blandes lazima watangazwe washindi kwani wanadai kuwa namzidi mgombea wa CHADEMA kwa kura 6500. Mgombea wa CHADEMA anadai kuwa wamemzidi wa CCM kwa kura 550. Hakuna anayekubali kushindwa. Polisi wameona ni heri watumie nguvu ili mradi Blandes wa CCM ashinde.
   
Loading...