Elections 2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

lete data za matokeo kama ni kweli. Mbona nimeongea na mtu wa ccm muda si mrefu wanadai wameshinda???

nasema hivi chadema kamlaza mtu uko karagwe ni sherehe tu ongea naye tena na simu atakuwa amekata
 
Nipo nje ya karagwe figure sina ila mbuge ni chadema anaitwa Deusdedith Kahangwa


Mkuu Nasikiliza ITV hapa wako Live na wanasema Matokeo Bado, Mkuu haya mambo lazima uwe Serious unaongea na watu wengine waweza kuwa Baba Zako teh teh teh
 
Ni kweli watu wawe wanapost vitu ambavyo viko confirmed siyo kama jana watu wana post hovyohovyo tena havina uhakika hasa hao junior member ambao naona wengi wao wamejiunga hii nov monday special for uchaguzi bila hata kusoma sheria za JF. nafikiri wanastahili kula ban kidogo ili wajue hapa ni GT's
 
The Dreamer wewe ni Mpuuzi, kama Usipothibitisha Siko Tayari kukuomba Radhi nasema wewe ni Mpuuzi
 
Niko hapa karagwe,sasa hv askari wameletwa toka bkuba bt nguvu ya uma itashinda,wanataka kudanganya hataweza.
 
Uwezekano wa cmm kuchakachua ni mdogo sana wamebanwa sana.wanahaha mi niko hapahapa kwa anayetaka updates.
 
Lakini tujue pia wakishinda upinzani wanaitwa polisi,wakishinda wao ah kawaida.mmeona arusha,mwanza,magu pia huko wajezwa FFU kisa UDP wanataka mgombea wao atangazwe.
 
Niko hapa karagwe,sasa hv askari wameletwa toka bkuba bt nguvu ya uma itashinda,wanataka kudanganya hataweza.
 
Sehemu nyingi watu walikuwa wanashangilia walkidhani wameshinda pia lkn hali haikuwa hivyo-uchakachuaji;Tunarushana roho-wengine tuna midadi ya kushangilia tusijeonekana wehu baadae.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom