Elections 2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

Bravoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo chadema! Bravo vox populi,vox deo!
 
The Dreamer , thanks for the info, unaweza weka idadi ya kura, je matangazo haya yametangazwa na tume huko rasmi?
 
Lete data za matokeo kama ni kweli. Mbona nimeongea na mtu wa CCM muda si mrefu wanadai wameshinda???
 
Nimepost kuwataarifu CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KIMESHINDA KARAGWE ILA IYO POST SIIONI. NI HABARI YA KWELI KABISA

Matokeo yametangazwa na sherehe zimeanza kuelekea nyumbani kwa mh Mbuge uko Kituntu Mabira!

Ni habari njema mkuu. Tupe source na data zikoje.
 
Nimepost kuwataarifu CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KIMESHINDA KARAGWE ILA IYO POST SIIONI. NI HABARI YA KWELI KABISA

Matokeo yametangazwa na sherehe zimeanza kuelekea nyumbani kwa mh Mbuge uko Kituntu!

Sherehe hazitusaidii mkuu, data ni muhimu zaidi hasa baada ya kutangazwa rasmi
 
matokeo bado kutangazwa. Ffu wanazidi kuongezwa toka bukoba. Wananchi wanazidi kuongezeka
 
Nimetoka kuzungumza na chanzo cha karibu sana pale Karagwe,kimsingi matokeo bado hayajatangazwa rasmi,ingawa watu ni wengi kwelikweli na wanaamini chadema imeshinda,kwa taarifa tu ni kwamba polisi wameanza kuwasili eneo hilo wakitokea bukoba na kwingineko.lengo ni kwenda kusimamia amani katika eneo hilo;Kwa ujumla hali ni tete Karagwe kwa sasa.
 
Ningeomba JF Members mposti habari ambazo ni confirmed. vinginevyo ziwe ni TETESI.
 
Ningeomba JF Members mposti habari ambazo ni confirmed. vinginevyo ziwe ni TETESI.
Yeah, ni kweli ni vizuri tukatoa habari ambazo ni confirmed, tusije tukaanza kushangilia kitu ambacho hatuna uhakika nacho...baadaye inauma sana...hasa pale tunapongundua habari haikuwa ya ukweli..lets be serious..
 
Matokeo yametangazwa na ni wadogo zangu ambao wapo wanasherekea makao makuu tumeongea. Ni 100% reliable source
 
Back
Top Bottom