kwani kuna uwezekano wa kulichukua hilo jimbo?
Huyo Blandes ni Hopeless nitashukuru sana kama wanaKaragwe wenzangu watamgoa tupo wote katika hilo.......Mungu Ibariki Tanzania,...Mungu Ibariki Karagwe................
Nimependa jina lako la kanyabuleza mimi nitajibatiza kagululu
nimepost kuwataarifu chama cha demokrasia na maendeleo kimeshinda karagwe ila iyo post siioni. Ni habari ya kweli kabisa
matokeo yametangazwa na sherehe zimeanza kuelekea nyumbani kwa mh mbuge kituntu mabira!