Elections 2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

Campana

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
207
40
Wananchi, hasa wapenda mabadiliko wamezunguka majengo ya halmashauri wanasubiri matokeo rasmi kwa hamu. Mgombea wa ccm (blandes) alitoweka eneo hilo tangu jana jioni.
 
Huyo Blandes ni Hopeless nitashukuru sana kama wanaKaragwe wenzangu watamgoa tupo wote katika hilo.......Mungu Ibariki Tanzania,...Mungu Ibariki Karagwe................
 
Habari za ndani zinasema msimamizi anashinikizwa tangu jana amtangaze Blandes wa CCM lakini katia ngumu! Mzee Kahama yuko kule anapulizia jimbo lisiende Chadema. Ndio zake !!
 
Huyo Blandes ni Hopeless nitashukuru sana kama wanaKaragwe wenzangu watamgoa tupo wote katika hilo.......Mungu Ibariki Tanzania,...Mungu Ibariki Karagwe................

Nimependa jina lako la kanyabuleza mimi nitajibatiza kagululu
 
Karagwe leo atakufa mtu, wananchi kweli wamezingira halmashauri, wanataka matokeo yatangazwe. Matokeo wananchi wanayo, ccm wanayo, chadema wanayo, na msimamizi wa uchaguzi anayo; yote yanaonyesha Kahangwa wa Chadema kashinda kwa tofauti ya kura 502.
Sababu za kutotangaza hazijulikani.

Natafuta usafiri wa kuelekea huko, nikupata nitapiga hata picha.
 
jamani kahangwa kapata kura nyingi sasa kwa nini wasitangaze.
tunamhitaji sana karagwe,tumewachoka ccm hakuna walichokifanya huko.
 
wana nazani TUME wawe wanakagua VYETI VYA wanaojumlisha kura,SABABU WENGI INAVYOELEKEA HAWAJUI HESABU RAHISI ZA KUJUMLISHA NA KUTOA,mpaka nnavyoongea maeneo mengi matokeo hayajatoka kisa BADO WANAHESABU KURA.shame:israel:
 
Nimepost kuwataarifu CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KIMESHINDA KARAGWE ILA IYO POST SIIONI. NI HABARI YA KWELI KABISA

Matokeo yametangazwa na sherehe zimeanza kuelekea nyumbani kwa mh Mbuge uko Kituntu!

Mbuge anaitwa Mh. Deusdedith Kahangwa
 
nimepost kuwataarifu chama cha demokrasia na maendeleo kimeshinda karagwe ila iyo post siioni. Ni habari ya kweli kabisa

matokeo yametangazwa na sherehe zimeanza kuelekea nyumbani kwa mh mbuge kituntu mabira!

hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Msimamizi ametangaza? tunataka yale yaliyokwisha tangazwa isije kuwa kama yale ya Sumbawanga mjini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom