Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

Kuna Wizara inayohusika na masuala ya wanawake na watoto, chombo cha kutunga sherika - bunge- linaongozwa na mwanamke, 36% ya wabunge ni wanawake, na kila kukicha utawasikia hawa wabunge wanawake wakidai 'usawa wa kijinsia' kwenye ngazi za uongozi/maamuzi. Juzi nilimsikia Jenista Mhagama akipayuka bungeni kudai wabunge wa bunge la katiba wawe 50/50 (wanawake/wanaume)

Kelele zote hizi za wanawake hawa walionawiri zinamsaidia vipi binti huyo aliyegeuzwa kuwa 'sex slave' na supposedly kigogo?

Na taarifa inasema kuwa huyo binti kafikisha kadhia yake bungeni, lakini hawa wabunge wanawake 36% pamoja a spika wao wamempa kisogo?

Bado tukubali wimbo kuwa 'wanawake wakiwezeshwa, wanaweza?
 
Ibara ya nane ya katiba Chadema inaruhusu kupora mke/mme wa mtu na kama mke/mme atahoji kimbiza yeye na watoto.

Bora mke wa mtu anakubali kwa utashi wake kuliko ubakaji wa vitoto vya praimare skuli ambavyo vinanuka mkojo. Katiba ibadilishwe, waóneeni huruma wapiga kura wa baadae.
 
Wanaharakati,wanasheria wapenda haki na wananchi kwa ujumla tusiposimama na binti huyu mdogo na yatima damu yake itatulilia! Tuache ubinafsi na kutojali tuanze kupaza sauti sasa sheria ichukue mkondo na inaeleweka adhabu ya makosa hayo ya kubaka mtoto.

tuwaite hapa kina kijo bisimba hapa.. na wenye namba zao wawapigie
 
Mke wa Kapuya mzuri jamani kaenda hewani nyuma mashallah iweje adandia kitoto chini ya 18?
 
Jamani hili jambo ni serious, Kama KWELI binti huyo amefanyiwa unyama huo na waziri wa zamani wa CCM. Na maelezo yote anayoyatoa ni kweli. Mimi naomba Binti huyo aende TAMWA atapata msaada wa kisheria. Asifuatilie hii issue pekee yake.

Kumbuka TAMWA walivyo MNYOLOSHA former IGP Inspector Mahita bada ya kumbaka house girl wake na kumzalisha na baadaye akaingia mitini kutoa pesa ya matumizi.

Jamani wewe binti wahi TAMWA, utapata msaada wa kisheria. Hata kama Binti huyo alilidhia, lakini kufanya mapenzi na underage < 81 years old ni kosa punishable before the court of law. Mvua ya miaka 35 without parole!
 
AKUDO IMPACT+

7515210_orig.jpg


mzee wa vimwana
 
Kabinti kalinogewa inaelekea ndo maana kakamfuata tena. Kamemaindi kalivoambiwa foma minista amewekeza kwenye gridi ya Taifa. Nani anapenda mgao wa umeme???

Mkuu huyo mnayesema ni mtoto hakubakwa wala nini. Inaelekea kalitongozwa bila ya ubishi kakaenda kupanda gari kakakutana mna mheshimiwa hotelini kakatoa mzigo tena kakitoa ushirikiano wa kutosha. Kalipomaliza kakapewa pesa ya kujikimu 700,000/= badala ya 67000 then kakasepa. After sometimes kakarudia tena na tena na hulipwa, sasa kameshakua na kamejua noti, sasa kanataka kiinua mgongo (jumla) kalipwe kasepe. Mambo hayo!!! Magazeti yanaweka chumvi sana ila according to my lights that is naked truth.
 
kwa habari ilivyo wote wana shida kabsaaaa!waziri wa zamani na huyo binti!mimi ni mzazi lakini nachoona hapo ni upuuzi kabisa,alipobakwa (kwa maelezo yake on which sikubaliani nae kwani inaonyesha alireact alipoambiwa baba huyo ana HIV),alipaswa kushtaki kitu ambacho anadai alifanya na walipofika polisi wakakubaliana jambo ambalo alilitekeleza,aliposema wauze gari ili amalizie shule hao mabinti walitaka huyo baba awahudumie mpaka kufa kwao?WOTE WAPUUZI KABISA.

for your information, sheria inasema ukilala na msichana mwenye umri below 18 yrs umebaka, regardless huyo mtoto ali consent. sheria haitambui consent ya mtoto wa below 18 kwenye sex. huyo waziri alikuwa ana responsibility ya kumprotect huyo mtoto hasa ukizingatia her vulnerability ( yatima). Kama ni kweli, ina maana he took avantage of her.

Tuijadili hii mada kwa mapana, sijaona sababu ya kumlaumu huyo binti. Mara nyingi watoto kama hawa hawana choice kama watoto wengine ( imagine huyo mtoto hana wa kumlipia ada, mtu ambaye yupo tayari kumlipia ndio anakuja na masharti kama hayo). ebu kuweni waelewa.
 
Katika nchi nyingine hili lilikuwa la kushikia bango na vyombo vya habari mpaka tumuone waziri huyu na pingu. Lakini vyombo vya hapa vinavyomilikiwa na mafisadi na wauza unga wao kila siku ni kuangalia kilichoharibika Chadema.

Nawashauri Tanzania daima waivujishe humu kwa video tuanze kumbana. Haiwezekani, Ccm uharifu mliofanya unatosha tuseme inatosha sasa!
 
Huyo binti ni yatima, na hata hao wanaomlea hawana uchungu kama ulivyo wewe.
Hivi kwa umri wa huyo binti huoni kitendo cha kwenda Polisi tayari ilikuwa ni hatua kubwa? Hebu vaa viatu vyake halafu upate matatizo ukiwa katika umri huo, hali ya uchumi mbaya na tena huna Wazazi wala ndugu wa karibu achilia mbali akili ya kufanya maamuzi makubwa (kwa kuzingatia umri).

Tena huyo binti una ujasiri mkubwa sana, kwa Tittle ya mbakaji kitendo cha yeye kukubali kuchukua hatua zoote hizo ni jambo la kupigiwa mfano. Hapo ndipo alipofikia, inapasa wengine waanzie hapo kumsaidia, inaweza kuwa wewe na mimi hata kwa kuandika hapa kumsapoti nayo ni hatua kubwa sana.
habari ya 2011 imetufikia leo 2013, ni hatari sana, wapo mabinti wengi wadogo wanakutana na adha hizo na nikiri kuwa taarifa nyingi hazijulikana, ila tatizo ni kubwa,wapo waalimu wa sekondari kwa mfumo wetu wa kutishana kufelishana wanajilia mizigo taratiibu bila mtu kujua, wafanya biashara nao hawajabaki nyuma, chips mayai hizi zinamaliza nguvu kazi ya taifa, ma'house girl nao wakitoka bush wakija mjini wamemaliza darasa la 7 wakiwa na umri wa miaka 13 au 14 wanafundishwa usafi, wanafundishwa kupika, na hatimaye virutubisho vya nyumbani kwa bosi vinaanza kukaneemesha, mabosi macho yanawatoka, vinaanzia kuliwa hapo hapo, sad.....
 
Hili sakata itakua mheshimiwa ameacha kumhudumia huyu binti ndiyo maana ameamua kumchafua mbunge,inaonekana kameliwa sana na wapambe ndio wanampa kichwa!hawa ni matapeli alivyopewa laki 7 mbona hakusema?na nyie wabunge mkome ndio maana mnasema pesa haziwatoshi
 
Duuh kinachouma zaidi ni hiyo ngoma aliomwachia, sasa sijui hilo gari alilompa alifikiri litamponyesha. Mijitu mingine inatia hasira hivi familia ya waziri huyu inapoyaona haya kwanini hata isiamue kumuulia mbali kabisa. Maana huu ni unyama mbaya sana
 
Hizi hadithi za mtu fulani mkubwa sana(jina linahifadhiwa) zinakera kusoma...kwanini usifanyike uchunguzi usio na shaka na kisha wamwagwe hadharani waumbuke? Mbona kashfa ya Clinton haikuandikwa 'mtu mmoja (jina linahifadhiwa) wa state house anatuhumiwa kufanya A,B,C na mtumishi (jina linahifadhiwa) wa ikulu? Kwanini tusifike mahali kijiko kikaitwa kijiko?
Sijui lini hili gazeti litafungiwa? Yaani uharo tangu mwanzo mpaka mwisho.
 
Hawa wasichana nao,
Kwanini mara ya kwanza hakusema;
Hapa kilichomfanya achanganyikiwe ni ile kuambiwa kuwa mzee ana maradhi;

Haya ndo watoto tuliowazaa sisi wenyewe lakini;
Sijui hata maneno ya kusema hapa.

Inasikitisha wachangiaji wengi humu mnmshambulia uyu mtoto, nakuacha huyu baba. seriously, this says a lot about us waTZ. kweli mtoto wa miaka 14, unamuita msichana!!!! wengine ktk umri huu hata ungo anakuwa hajavunja, jamani get serious.
 
Back
Top Bottom