Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

Wakuu mtoto yeyote anarubunika ndio maana mtoto anapewa ulinzi mkubwa sana kisheria.Huyo binti ameanza kurubuniwa akiwa na umri wa miaka 14.

Naomba zinapokuja mada za mambo ya kusikitisha kama hivi tuwe serious kidogo maana huwezi jua kesho binti yako atafanywa nini bila wewe kujua.Huyo binti ni yatima na hakuna anayejua anaishije na kwa umri wake mdogo angewezaje kuruka mtego wa mtu mzima kama yule tena akiwa kiongozi mkubwa wa serikali.

Tuache utani kwenye mada sensitive kama hizi maana hapa JF ndio mahala pekee pa kudiscuss issues kwa mapana na wasomaji ni wengi.

Mungu na anisamehe.

Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.
 
Kapuya mzembe sana angekaongezea dau siri isingefichuka. Anaenda kukapa benzi wakati hata leseni hakana. Afu sijui nani alimdanganya benzi inauzika. Ukinunua huo mchuma ndo ushafunga nao ndoa ya kikristu.

name calling,name calling u have been warned....

huyo mzee hajafanya poa wala nini
 
kwa habari ilivyo wote wana shida kabsaaaa!waziri wa zamani na huyo binti!mimi ni mzazi lakini nachoona hapo ni upuuzi kabisa,alipobakwa (kwa maelezo yake on which sikubaliani nae kwani inaonyesha alireact alipoambiwa baba huyo ana HIV),alipaswa kushtaki kitu ambacho anadai alifanya na walipofika polisi wakakubaliana jambo ambalo alilitekeleza,aliposema wauze gari ili amalizie shule hao mabinti walitaka huyo baba awahudumie mpaka kufa kwao?WOTE WAPUUZI KABISA.
 
Duh! Inasikitisha,naona mada imeanza kujadiliwa kichit chat! Hapa ndio unaona wazi matatizo mengi ya nchi tuna sababisha sisi wananchi na si wanasiasa wala mafisadi.Yaani tayari tumechukulia poa hili tukio kama hadithi za Shigongo!:A S-confused1::A S-confused1:

Afadhali wewe umeona. Ndiyo maana mtu anadhulumiwa anasema Mungu atanilipia, kila Mtu hapa anaona tatizo halimhusu, ngoja siku mtoto wake afanyiwe hivyo kama atasema 'ameyataka mwenyewe'.
 
Mimi naona ubakaji hapo haupo kwakuwa binti mwenyewe alikuwa anafunga safari kumfuata kigogo huyo sehemu mbali mbali na ameshapokea pesa zake nyingi. Angeripoti mara alipoingiliwa mara ya kwanza kidogo inge make sense.
 
sharia ya ndoa ya Tanzania inaruhusu kuolewa kuanzia miaka 15 kwa binti na kijana akifikisha umri wa miaka 18 anaruhusiwa kuoa, labda tujadili tofauti ya umri mzee totoz kapuya na huyo binti
 
Khaaaaa.. sasa huyo mtoto kashaenda Angaza? So sad

Kidumu Chama cha Mwigulu
 
Chakaza hii style hatareee
Kapuya4.jpg

Hii Staili ya Wazee wa MASAUTI inaitwa"ga" PEKECHA PEKECHAAAAA... AKUDO IMPACT.
 
kwa habari ilivyo wote wana shida kabsaaaa!waziri wa zamani na huyo binti!mimi ni mzazi lakini nachoona hapo ni upuuzi kabisa,alipobakwa (kwa maelezo yake on which sikubaliani nae kwani inaonyesha alireact alipoambiwa baba huyo ana HIV),alipaswa kushtaki kitu ambacho anadai alifanya na walipofika polisi wakakubaliana jambo ambalo alilitekeleza,aliposema wauze gari ili amalizie shule hao mabinti walitaka huyo baba awahudumie mpaka kufa kwao?WOTE WAPUUZI KABISA.

Huyo binti ni yatima, na hata hao wanaomlea hawana uchungu kama ulivyo wewe.
Hivi kwa umri wa huyo binti huoni kitendo cha kwenda Polisi tayari ilikuwa ni hatua kubwa? Hebu vaa viatu vyake halafu upate matatizo ukiwa katika umri huo, hali ya uchumi mbaya na tena huna Wazazi wala ndugu wa karibu achilia mbali akili ya kufanya maamuzi makubwa (kwa kuzingatia umri).

Tena huyo binti una ujasiri mkubwa sana, kwa Tittle ya mbakaji kitendo cha yeye kukubali kuchukua hatua zoote hizo ni jambo la kupigiwa mfano. Hapo ndipo alipofikia, inapasa wengine waanzie hapo kumsaidia, inaweza kuwa wewe na mimi hata kwa kuandika hapa kumsapoti nayo ni hatua kubwa sana.
 
Jzi juzi Mbunge wa ccm viti maalumu "60" afunga ndoa na kijana sawa na mtoto wake wa mwisho "26" leo Waziri wa zamani Babu zima labaka kijukuu chake. Yani haya maccm yanatabia kama za umbwa, tena mbwa wa soloni na sio mbwa wa kizunggu.
Maccm hayajui ata kama kuna Mungu yani sio mamama, mababa,mabibi, wala mababu wote wanajua kubaka tu.
 
Huyo binti ni yatima, na hata hao wanaomlea hawana uchungu kama ulivyo wewe.
Hivi kwa umri wa huyo binti huoni kitendo cha kwenda Polisi tayari ilikuwa ni hatua kubwa? Hebu vaa viatu vyake halafu upate matatizo ukiwa katika umri huo, hali ya uchumi mbaya na tena huna Wazazi wala ndugu wa karibu achilia mbali akili ya kufanya maamuzi makubwa (kwa kuzingatia umri).

Tena huyo binti una ujasiri mkubwa sana, kwa Tittle ya mbakaji kitendo cha yeye kukubali kuchukua hatua zoote hizo ni jambo la kupigiwa mfano. Hapo ndipo alipofikia, inapasa wengine waanzie hapo kumsaidia, inaweza kuwa wewe na mimi hata kwa kuandika hapa kumsapoti nayo ni hatua kubwa sana.

Mkuu hapo kwenye red sijakuelewa vizuri? unamaanisha Mkuu Popompo na yeye aende kwa waziri wa zamani akananiliwe?
 
mzee wa kujirusha, mzee wa bishori. huyu mwanafunzi alijipeleka mwenyewe kwani wahudumu walivyomzuia mara ya kwanza kwa nini hakuwasikiliza ukila vya wenzio ni lazima uliwe hiyo ndiyo sera ya maccm
 
Haya mambo ya umalaya na ujana sana bora MTU uyamalize mapema...... ukiruka stage n matatizo unayaleta uzeeni,kapuya what happened?
 
Back
Top Bottom