Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

Kabinti kalinogewa inaelekea ndo maana kakamfuata tena. Kamemaindi kalivoambiwa foma minista amewekeza kwenye gridi ya Taifa. Nani anapenda mgao wa umeme???

hahahaaaaaa hiyo habari hatare sa mi najiuliza kalienda mara ya pili kufanya nini

na sa hivi dau likapungua kutoka mia 7 hadi mia tatu hamsin
 
Kulindana na kung'oa kucha za watu kumbe ni kazi ya kawaida tu kwa maccm.Hii itakuwa iko kwenye ilani yao ya siri.
 
ImageUploadedByJamiiForums1384321911.423687.jpg
Style hii ya kucheza muziki nimeipenda sana. Wadau nyie vipi?
 
kabakwa mara ya kwanza kwenye hoteli ya kitalii akaitwa kubakwa tena kwenye hoteli ya kitalii akaenda,watoto wa siku hizi kwa tamaa,halafu wanaweza kuyahimili mababa..

Kabinti kalinogewa inaelekea ndo maana kakamfuata tena. Kamemaindi kalivoambiwa foma minista amewekeza kwenye gridi ya Taifa. Nani anapenda mgao wa umeme???

Wakuu mtoto yeyote anarubunika ndio maana mtoto anapewa ulinzi mkubwa sana kisheria.Huyo binti ameanza kurubuniwa akiwa na umri wa miaka 14.

Naomba zinapokuja mada za mambo ya kusikitisha kama hivi tuwe serious kidogo maana huwezi jua kesho binti yako atafanywa nini bila wewe kujua.Huyo binti ni yatima na hakuna anayejua anaishije na kwa umri wake mdogo angewezaje kuruka mtego wa mtu mzima kama yule tena akiwa kiongozi mkubwa wa serikali.

Tuache utani kwenye mada sensitive kama hizi maana hapa JF ndio mahala pekee pa kudiscuss issues kwa mapana na wasomaji ni wengi.
 
hahahaaaaaa hiyo habari hatare sa mi najiuliza kalienda mara ya pili kufanya nini

na sa hivi dau likapungua kutoka mia 7 hadi mia tatu hamsin

Kapuya mzembe sana angekaongezea dau siri isingefichuka. Anaenda kukapa benzi wakati hata leseni hakana. Afu sijui nani alimdanganya benzi inauzika. Ukinunua huo mchuma ndo ushafunga nao ndoa ya kikristu.
 
watu mna tungo hatare.
Kapuya mzembe sana angekaongezea dau siri isingefichuka. Anaenda kukapa benzi wakati hata leseni hakana. Afu sijui nani alimdanganya benzi inauzika. Ukinunua huo mchuma ndo ushafunga nao ndoa ya kikristu.
 
Duh! Inasikitisha,naona mada imeanza kujadiliwa kichit chat! Hapa ndio unaona wazi matatizo mengi ya nchi tuna sababisha sisi wananchi na si wanasiasa wala mafisadi.Yaani tayari tumechukulia poa hili tukio kama hadithi za Shigongo!:A S-confused1::A S-confused1:
 
Back
Top Bottom