Kaptula Haisemi uongo

Mi sichangii ngoja nicheke tu; Teh! Teh! Teh! Teh! hah hah hah hah hah! Dah kwa kweli
 
Ooops! hao madada hawana kitu, labda ni hela tu. Uso na mambo mengine ni ZERO. Tuangalieni sisi wa stereet kuwafikia hao ni ngumu lol
 
Utu wa mtu utajionyesha kwa vitendo vyake, Ukivaa ngozi ya Kondoo huku we ni chui ipo siku vitendo tu vita kuonyesha wewe ni mtu wa aina gani. Hapo ndivyopicha hiyo inavyo waeleza hao watu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom