OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,525
Mkuu huyu anaitwa Capt. Kadego! Kama ulikuwa ukifuatilia hiyo kesi nadhani utakuwa ukiwakumbuka wengi akina rafiki yangu Marehemu Capt. Eugene Maganga, Kajaja, nk. ilikuwa kesi very interesting huku kukiwa na wakili mmoja anaitwa Lakha.
Huyu mwandishi ama ameshindwa kumuuliza Roberts maswali chokonozi ili tupate historia hiyo ama Roberts alikuwa hafunguki. Nakumbuka kuna wakati Capt. Maganga alikuwa akitoa story ya mpango wa mapinduzi kwenye gazeti la Rai. Naona Roberts amejiuma uma. Kwa mujibu wa Maganga mpango huo ulikuwepo na maganga alikiri kushirikishwa.
Muhojiwa alikuwa na nguvu kuliko muhojaji! !!!!
Zingatia jibu lake la sikumbuki shortly; wakati vingine anakumbuka vizuri tu!!!!!!
You need a strong hammer to get gravels from a rock!!!!