Kapotelea wapi Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Mh. Nimrod Mkono?

Naskia amefilisika hata hawezi kulipa mishahara. Watendaji wake wakubwa wamesepa wameanzisha practice zao kwa hiyo mkono advocates iko hoi bin taaban, halafu Alzheimer ime kick in. Ila kasaidia sana musoma vijijini kwa kujenga shule za maana.
 
Maneno yako yana kaukweli kiasi juzi nilimuona maeneo yetu tunapo bangaiza kachoka sanaaa.
 
Naskia amefilisika hata hawezi kulipa mishahara. Watendaji wake wakubwa wamesepa wameanzisha practice zao kwa hiyo mkono advocates iko hoi bin taaban, halafu Alzheimer ime kick in. Ila kasaidia sana musoma vijijini kwa kujenga shule za maana.
Huyo jamaa kwanza ni mkabila hajasaidia musoma vijijini kitu chochote sema kawasaidia wazanaki wao
 
Nenda pale ppf tower ndio utamkuta anatafakari jinsi ya kuiibia serikali kupitia taaluma yake ya kuungaunga,mpiga dili mkubwa enzi za chinga na baba riz,kapotea kwa vile Siku hizi madili ya wizi yamepungua,ingekuwa enzi za baba riz ndiye angekuwa wakili wa arcacia Muhujumu uchumi mkubwa sana huyu shenzyyy type.
Anapatikana EXIM TOWER karibu na mambo ya ndani, PPF TOWER alishahama
 
View attachment 623598

Wakuu ndugu yetu huyu yupo wapi?Kapotelea wapi huyu Mh Mbunge machachari sana na Wakili wa muda mrefu?

Matukio mengi makubwa yametokea lakini ukimya ni mkubwa sana?
Anajua akiongea ongea atamkumbusha JPM madhambi yake ya Bank Kuu.Anapaswa kuwa lupango huyo,he is lucky to be free.Si unakumbuka Bank Kuu iliungua wakati fulani,alipiga hela ndefu sana mzee huyo.
 
Nenda pale ppf tower ndio utamkuta anatafakari jinsi ya kuiibia serikali kupitia taaluma yake ya kuungaunga,mpiga dili mkubwa enzi za chinga na baba riz,kapotea kwa vile Siku hizi madili ya wizi yamepungua,ingekuwa enzi za baba riz ndiye angekuwa wakili wa arcacia Muhujumu uchumi mkubwa sana huyu shenzyyy type.

Alishahama zamani sana pale PPF tower, Sasa hivi yupo Exim tower jirani na Wizara ya Mambo ya ndani
 
Nenda pale ppf tower ndio utamkuta anatafakari jinsi ya kuiibia serikali kupitia taaluma yake ya kuungaunga,mpiga dili mkubwa enzi za chinga na baba riz,kapotea kwa vile Siku hizi madili ya wizi yamepungua,ingekuwa enzi za baba riz ndiye angekuwa wakili wa arcacia Muhujumu uchumi mkubwa sana huyu shenzyyy type.

Umasikini wako mkubwa ulionao ndiyo unakufanya umchukie hivi au? Kwani na Wewe katika hizo nyakati za hao Watawala wote uliowataja hapo hukuwepo? Kilikushinda nini na Wewe kuiba au kupiga dili? Halafu siku zingine kama una uhakika na Elimu na Taaluma za Watu ni vyema Kwanza ukakaa kimya ili wanaozijua wakuambie kuliko kukurupuka na kuonekana ni ' Mpumbavu ' fulani.

Hivi leo hii Wakili mahiri kama Mzee Mkono unaweza ukasema ana Elimu ya Kuunga unga? Are serious? Na kwa kukusaidia tu kwakuwa unaonekana ' ufukara ' mkubwa ulionao umekulamaza hadi na uwezo wako wa Kufikiri ni kwamba Mzee Mkono achilia mbali tu kwamba ana Elimu kubwa ya Sheria pia ana Elimu nzuri tu ya masuala ya Accounts and Finance.

Na kama kweli madai yako kuwa Mzee Mkono aliibia sana nchi hii nadhani na Mimi nitampongeza kwani yawezekana hao tuliowapa dhamana kubwa ya nchi hii walikuwa ni ' goi goi ' na ndiyo maana Mzee Mkono akawa anaiba hivyo nadhani lawama zako zote na kubwa ungezipeleka kwa Watendaji wako ' Wapumbavu ' waliokuwepo Kipindi hiko kwa kukubali kuzidiwa maarifa na Mzee Mkono.

Kwa maelezo yako tu ya chuki na yaliyojaa Wivu, Majungu na Husuda nahisi utakuwa ulienda kuomba Kazi / Ajira pale Kwake na ' ukatoswa ' au Nduguyo au Mzazi wako labda alikuwa hapo na ' akatumbuliwa ' au pia kuna uwezekano vile vile huyu Mzee ' alikuchapia ' kati ya Mkeo au Demu wako au kuna uwezekano na Wewe umejitahidi sana kuiba lakini bado hata hujafikia robo tatu ya Pesa au Utajiri wa Mzee Mkono hivyo una ' Kisununu / Kinyongo ' nae.

Kwa kuanzia tu nadhani ' dozi ' hii itakutosha na kama ukijitokeza tena kuleta ' pua ' yako hasa kuhusu Mzee Mkono nitakuongezea ' dozi ' yako nyingine. Halafu iwe mwanzo na mwisho kumtukana Mbunge wangu Shenzy Taipu sawa? Sisi Wazanaki wa kuanzia Butuguri, Busegwe, Bumangi na Butiama huyo ndiyo Mkombozi wetu pekee wa Maendeleo hivyo kumtusi hivyo ni sawa umetutusi na Wazanaki wote hadi GENTAMYCINE nikiwepo.

Mwisho kwa sasa hivi Ofisi zake hazipo tena hapo PPF Tower bali zipo katika Jengo la Exim mkabala ya Wizara ya Mambo ya Ndani. Narudia tena kusisitiza siku zingine kama unajijua hujui kitu au huna uhakika na jambo fulani bali jitahidi ufiche ' Upumbavu ' unaokusumbua.
 
Back
Top Bottom