Naskia amefilisika hata hawezi kulipa mishahara. Watendaji wake wakubwa wamesepa wameanzisha practice zao kwa hiyo mkono advocates iko hoi bin taaban, halafu Alzheimer ime kick in. Ila kasaidia sana musoma vijijini kwa kujenga shule za maana.
Huyo jamaa kwanza ni mkabila hajasaidia musoma vijijini kitu chochote sema kawasaidia wazanaki waoNaskia amefilisika hata hawezi kulipa mishahara. Watendaji wake wakubwa wamesepa wameanzisha practice zao kwa hiyo mkono advocates iko hoi bin taaban, halafu Alzheimer ime kick in. Ila kasaidia sana musoma vijijini kwa kujenga shule za maana.
Je, yule Profesa naye yupo wapi?View attachment 623598
Wakuu ndugu yetu huyu yupo wapi?Kapotelea wapi huyu Mh Mbunge machachari sana na Wakili wa muda mrefu?
Matukio mengi makubwa yametokea lakini ukimya ni mkubwa sana?
Anapatikana EXIM TOWER karibu na mambo ya ndani, PPF TOWER alishahamaNenda pale ppf tower ndio utamkuta anatafakari jinsi ya kuiibia serikali kupitia taaluma yake ya kuungaunga,mpiga dili mkubwa enzi za chinga na baba riz,kapotea kwa vile Siku hizi madili ya wizi yamepungua,ingekuwa enzi za baba riz ndiye angekuwa wakili wa arcacia Muhujumu uchumi mkubwa sana huyu shenzyyy type.
alizoea kuishi kwa kuiibia serikali sasa hivi hizo dili hazipo Lazima achoke.Maneno yako yana kaukweli kiasi juzi nilimuona maeneo yetu tunapo bangaiza kachoka sanaaa.
Anajua akiongea ongea atamkumbusha JPM madhambi yake ya Bank Kuu.Anapaswa kuwa lupango huyo,he is lucky to be free.Si unakumbuka Bank Kuu iliungua wakati fulani,alipiga hela ndefu sana mzee huyo.View attachment 623598
Wakuu ndugu yetu huyu yupo wapi?Kapotelea wapi huyu Mh Mbunge machachari sana na Wakili wa muda mrefu?
Matukio mengi makubwa yametokea lakini ukimya ni mkubwa sana?
Nenda pale ppf tower ndio utamkuta anatafakari jinsi ya kuiibia serikali kupitia taaluma yake ya kuungaunga,mpiga dili mkubwa enzi za chinga na baba riz,kapotea kwa vile Siku hizi madili ya wizi yamepungua,ingekuwa enzi za baba riz ndiye angekuwa wakili wa arcacia Muhujumu uchumi mkubwa sana huyu shenzyyy type.
Atageuzwa kuku huyo atakayejitokezaHata hivyo ametosha next time kijana ajitokeze jimbo hilo. Amefanya mengi lakini muda wa kupumzika umewadia
Cairo's
Baba ake mdogo au mkubwa,,baba nahreal sijui yupo wap
Mbona hajashtakiwa mkuu?!Nenda pale ppf tower ndio utamkuta anatafakari jinsi ya kuiibia serikali kupitia taaluma yake ya kuungaunga,mpiga dili mkubwa enzi za chinga na baba riz,kapotea kwa vile Siku hizi madili ya wizi yamepungua,ingekuwa enzi za baba riz ndiye angekuwa wakili wa arcacia Muhujumu uchumi mkubwa sana huyu shenzyyy type.