Kapombe aumizwa na Bahanuzi, kuukosa mchezo wa kesho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kapombe aumizwa na Bahanuzi, kuukosa mchezo wa kesho!

Discussion in 'Sports' started by Mdakuzi, Oct 6, 2012.

 1. Mdakuzi

  Mdakuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Beki wa kisiki wa Simba, Shomari Kapombe ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya JKT Orjoro ya Arusha kutokana na kuumizwa mguu na mshambuliaji wa Yanga Said Bahanuzi katika mchezo uliochezwa usiku wa Jumatano iliyopita.
  Wachezaji wengine wa Simba walio majeruhi ni Mrisho Ngassa na Haruna Shamte.
   
Loading...