KAPINGA formally Sukita boss is no more

Kwa nionavyo mimi na mafisadi ni kama mbingu na ardhi, sitoi R.I.P yangu kwa huyu fisadi wa mali na ngono Kapinga. Nafikiri tulichelewa kuandika uozo wake hapa tangu alipokwa hai ili watoto wake wasome wampatie habari kabisa. Hafai. Sasa kama alianguka ghafla aliweza kutubu kweli??? Poor you fisadi. Nilijua tu lazima watoto wake wako nje ya nchi!!!! Samahani sana kwa wale mko nje ya nchi kwa nguvu halali za wazazi wenu au nyie wenyewe. Kudos.
 
Wa aina ya Kapinga katika Taasisi/Mashirika ya UMMA tunao wengi tu. Wenzake walipostaafu waliingia kwenye siasa wakawa mawaziri akina Mwapachu, Mramba, Mkulo,.... Wengine wamebaki wabunge tu akina Janguo, Mwandoro... Ili mradi unaelewa kuwatumikia WANASIASA wetu na CCM yao utakula na kuishi unavyotaka Nchi hii.
 
arrrrrg alikuwa fisadi tu tena ngono...hakuna cha ku rest in peace hapo.....akapambane na jehanamu......
 
arrrrrg alikuwa fisadi tu tena ngono...hakuna cha ku rest in peace hapo.....akapambane na jehanamu......

Dah Mpwa naona unaltoa nyeupe,,huo ndo ukweli wenyewe japo unauma..Btw,ishu niajjjjjje?..habari za siku mingi..Mi niko pouwa
 
. nilijua tu lazima watoto wake wako nje ya nchi!!!! Samahani sana kwa wale mko nje ya nchi kwa nguvu halali za wazazi wenu au nyie wenyewe. Kudos.

watoto wake wanaishi kwenye jumba lake la london...

juzi the comedy waliikumbuka sukita wakaaza kuiponda na ufisadi wake ...ilikuwa alhamisi...sijui hii iliaza kumpa presha mzee kapinga akajuwa kuwa vijana wengi waliokuwa hawajuwi ametoa wapi pesa wataaza kumfuatilia...

lakini ufisadi hauna maana kabisa ,...mungu wa haki amemchukuwa akiwa lofa kama mimi na wewe ...tusiokuwa mafisadi ...hata magorofa yake ya kimara ameshindwa kuendeleza ujenzi wa maana tangu sukita ife!!
 
Kwa comments hizi nashindwa kuandika "RIP Kapinga...", sijui niandikeje?
RIP haihusiani na maisha ya dunia hii, ni kumuombea maisha mema huko aendako. Hata wanaohukumiwa kunyongwa husaliwa kabla ya kifo na RIP ni stahili ya binadamu yoyote.
RIP JOHN KOLOS KAPINGA.
 
Mwenye Picha please... maana kuna kibabu kimoja kiliwahi kunichimba mkwara maeneo ya COOL BREEZE...

2649_76133846192_682301192_2110775_2894793_n.jpg

Mazee unataka picha hizi ama za marehemu?

Mas
 
RIP Kapinga!! Asiyetaka kusema RIP kwa marehemu yoyote na akae kimya tu!!

Hatujui maisha yake siku chache kabla ya kifo aliishi vipi. Kwasisi tunaomwamini Mungu, ukitubu dhambi, Mungu mwenye rehema atakusamehe dhambi zako zote, zikiwemo za rushwa na ufisadi.

Mwenye makosa mbele ya Mungu kama ametubu, hakika ataiona pepo!! Tusihukumu maiti!!
 
2649_76133846192_682301192_2110775_2894793_n.jpg

Mazee unataka picha hizi ama za marehemu?

Mas

au hiyo ndio ilikuwa bia chaguo la marehemu??

sisi tunakunywa safari ya moto bwana ....tangu enzi zileee ...ambapo safarii zikiwa hazina label zaidi ya kizibo cheupe,,...wakati huo SUKITA walikuwa busy kuingiza TUSKER zisizolipiwa kodi toka KENYA!!!
 
Fidel na Masanilo mnashtakiwa kwa kosa la kunisababishia kicheko katika mada hii ya huzuni. Mahakama ya Makosa ya Hisia inawahukumu kifungo cha miezi Minne jela na mtakitumikia katika gereza la Jokes ndani ya Mji wa JF. Kifungo hicho kitaambatana na adhabu ya kushinda na kukesha JF bila kukosa pamoja na kutoa jokes zitakazowachekesha wanachama wa JF mpaka wavunjike mbavu.

Kifungo chenu kinaanza mara moja.

RIP Mzee Kapinga Mwenyezi MUNGU akupumzishe kwa Amani.
 
Mh Hakimu naruhusiwa kujitetea, maana nategemewa na familia yangu pamoja na nyumba ndogo kadhaa.....sasa nikishinda JF nitakuwa sitendi haki za msingi kwao....

RIP Kapinga
 
Dah.....naona raia sasa wamepinda kweli...yaani mshikaji amevunwa na sir.God, bado watu wanamachungu naye tu.......!

BWT: Kuna member humu JF anaitwa KAPINGA....and seems old vipi any connection to Marehemu?
 
huyo kapinga wa humu nadhani kalitumia tu hilo jina,ndo maana hawezi kujibu hilo swali anaogopa maswali mengine ya nyongeza!!!kapinga wote wenye uwezo wa kuandika hapa tunawajua.
 
huyo kapinga wa humu nadhani kalitumia tu hilo jina,ndo maana hawezi kujibu hilo swali anaogopa maswali mengine ya nyongeza!!!kapinga wote wenye uwezo wa kuandika hapa tunawajua.

hahahaha nimecheka sana wakuu sijaingia humu siku nyingi saaana...hahahaaha
 
Tatizo la ccm wanaweza wasiende kumzika. Ndugu wa marehemu Dr. Mwansasu yule aliyewahi kuwa RDD walilalamika ccm hawakuonekana kwenye msiba wake wala kushiriki mazishi kwa namna yoyote ile.
rip kapinga
 
Quote Originally Posted by Augustine Moshi:

Si rahisi kukumbuka maisha na mchango wa Kapinga bila kukumbuka SUKITA. Nadhani SUKITA ni mojawapo ya vitu ambavyo vitapashwa kufanyiwa uchunguzi rasmi mara itakapowezekana (CCM wakiwekwa benchi).

Inasemekana sehemu ya biashara ya SUKITA ilikuwa kuagiza bia toka Kenya bila kulipa kodi. Ni uvunjaji mkubwa wa sheria. Na ikibidi walikuwa wanachukuliwa fedha moja kwa moja toka serikalini. Hata fedha za kuifilisi SUKITA inasemekana zimetoka serikalini.

Matatizo mengi ya utawala usiofuata sheria ambayo tunayo hayataweza kutatuliwa mpaka CCM ikae benchi kwanza

.... connect dots and pattern emerges:

CCM walibadilisha tactics za WIZI na uhujumu uchumi. Waliachana na aina ile kama SUKITA waka-graduate into day light robbery zifuatazo:
.
.
MEREMETA
KAGODA
.
.
RICHMONDULI
DOWANS
.
.
ET AL
 
Back
Top Bottom