Hii ya afisa utamaduni wa manispaa ya dodoma kupigwa faini ya shilingi laki tano kwa kupokea rushwa ya millioni kumi naomba mnijuze zaidi! haina harufu ya rushwa kweli? ningependa kujua jina lake pia.