Bar Maid akijituma vizuri hakosi 160,000 - 250,000 (plus) kwa mwezi
Muhindi achana nae kaka, tena wanaweza wakampunguzia.... mimi hawa wahindi siwaamini kabisa, hawa watu hatuendani nao kabisa...Kwani toka 2010 July hadi leo Dec 2013 kala Mavi?
Umeongea la msingi hapo kwenye Channel hapo. oa: Tena kuna uwezekano wahindi hao wanampima tu. Hapa kuna mawili; 1.Wanajua tu kwa hii bei Tsh 120,000 mtu hawezi kuishi mjini. Akikubali, watajua huyu jamaa mwizi anataka kutuibia tu. 2.Anaweza kukubali wakafika wakabadirisha kiwango, akapata ata 200,000Tsh.
Ushauri: Mwambie Binamu Aende Tu... Ila inauma :angry:
bora aende tu mwanzo wa ajira mgumu bora akapate na experience
Safari moja huanzisha nyingine....