Kaona mambo huyawezi, kaja kwangu

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,354
Leo asubuhi kwenye redio ya kabajaji, wakati nakuja kwa mkoloni:Haka kawimbo ka TOT kalinitafakarisha mengi sana:

Ooooh oooh *****,
Usilie na mimii mamaeee,
Mpenzi wako mimi sijamwita eeeh,
Kaona mambo wewe huyawezi, ndipo kaja kwangu

Yani mtu anakuchukulia kifaa chako afu anakupiga dongo "Kaona mambo wewe huyawezi, ndipo kaja kwangu".

Si kutafutiana ubaya na kesi za mauaji za bure mchana kweupe? Asprin hapendi, anawatakieni wikiendi njema.

Msisahau MALARIA HAIKUBALIKI..:israel::israel::israel:
 
JOSSEEEEE amekuharibu kabisa....!
ile baa ya kuhama ile

Yani Jose anaenda Kwa Kaizer, Afu kaizer anambie Jose kaenda kwake kwa kuwa mimi mambo siyawezi?

Hata kama ni mwenyekiti, msiba waweza tokea maeneo ya Rombo.
 
Asprin kaharibika vibaya mno.......hebu ona leo yuko na twaarab....
 
Naona week end inaishia vizuri machungu ya uchakachuaji yamepungua sasa.

Mpwa hiyo bar mpya ipo mtaa gani? Akina Eliza vp viwango vyao?
 
Jirani asprin,

Wamekuharibu aisee... huko nyuma hukua hivyo, nilikuonya taarab mbaya, hukutaka kunisikia
 
Asprin kaharibika vibaya mno.......hebu ona leo yuko na twaarab....

Wewe si nlishakwambia si ndugu yangu?

Sasa ona hata wimbo wa TOT band wewe unasema taarab. We nshakushtaki kwa Papa. Leo unasomewa hukumu yako.
 
jirani asprin,

wamekuharibu aisee... huko nyuma hukua hivyo, nilikuonya taarab mbaya, hukutaka kunisikia

Hahahahaha! Nyie walevi bana. Sio taarabu hiyo. Tatizo mmelemazwa na Malumbano ya Mabongo fleva....

Nimeharibikiwa siyo? Huko nyuma nilikuwaje huko nyuma?
 
lakini mimi namlaumu sana JOSSEEE!....

huyo ndo kaharibu kila kitu.

hofu yangu ni kwamba uliambiwa uwasilisha ''final-accounts''' za chama lakini naona unapiga danadana
 
Wewe si nlishakwambia si ndugu yangu?

Sasa ona hata wimbo wa TOT band wewe unasema taarab. We nshakushtaki kwa Papa. Leo unasomewa hukumu yako.

Tatizo unachokoza halafu unakimbilia polisi....ofkoz sina undugu na wewe.....hata ungekuwepo ningeenda RITA kurekebisha...
 
lakini mimi namlaumu sana JOSSEEE!....

huyo ndo kaharibu kila kitu.

hofu yangu ni kwamba uliambiwa uwasilisha ''final-accounts''' za chama lakini naona unapiga danadana

Wewe nawe ni mwathirika wa CHEZUMWI.

Siku ya tatu mfululizo hujaripoti kwa deusi, kerege wala kwa meri. Roya na Kimey wana kesi ya kujibu.
 
Tatizo unachokoza halafu unakimbilia polisi....ofkoz sina undugu na wewe.....hata ungekuwepo ningeenda RITA kurekebisha...
ha ha ha!
umenichekesha sana

mkuu hebu njoo facebook tutete kidogo
 
Tatizo unachokoza halafu unakimbilia polisi....ofkoz sina undugu na wewe.....hata ungekuwepo ningeenda RITA kurekebisha...

Ile rule # 3 unaipotezea. unajilimbikizia mali mwenyewe. Undugu gani huu? Ukabaila na ubeberu si sehemu ya imani ya undugu wetu.

Wewe na Kimey si ndugu zangu.
 
Wewe nawe ni mwathirika wa CHEZUMWI.

Siku ya tatu mfululizo hujaripoti kwa deusi, kerege wala kwa meri. Roya na Kimey wana kesi ya kujibu.
miye leo stendi ya kwanza baa mpya

azma yangu ni kujiridhisha na unachokiandika hapa
 
ha ha ha!
umenichekesha sana

mkuu hebu njoo facebook tutete kidogo

Invizibo anakisambaratisha chama kwa kuiondoa chat room.

Nawafuata huko viongozi wangu. Tupange mkakati wa hukumu ya leo.
 
Ile rule # 3 unaipotezea. unajilimbikizia mali mwenyewe. Undugu gani huu? Ukabaila na ubeberu si sehemu ya imani ya undugu wetu.

Wewe na Kimey si ndugu zangu.

Hebu ngoja kwanza....hivi leo si ndio siku ya kukusulubu kwa popu???
Tatizo wewe ukiona mahali inapopaswa kufuata rule # 3, basi unajifanya kijana...argh:evil::evil::evil::evil:
 
Invizibo anakisambaratisha chama kwa kuiondoa chat room.

Nawafuata huko viongozi wangu. Tupange mkakati wa hukumu ya leo.
naona invizibo ''amei NEC'' chatroom!
hebu njoo facebook kuna jambo la kudiskass
 
Hebu ngoja kwanza....hivi leo si ndio siku ya kukusulubu kwa popu???
Tatizo wewe ukiona mahali inapopaswa kufuata rule # 3, basi unajifanya babu/kijana...argh:evil::evil::evil::evil:
ha ha ha ha ah!
minuted!
nadhani hii ndio agenda kuu
 
Back
Top Bottom