Kanye West mbona anavaa kimaskini sana au ndo tuseme anaugua uchizi??

Wamevaa the way walivyosikia africa kulivyo..hizo nguo sio za kimaskini ni "safari nguo" according to them
 
Kavaa kuendana na hali halisi ya eneo analotembelea, na hiyo ni factor kubwa sana katika kufanya kazi na jamii!!

Kuna dada alienda visiwani huko kwenye maswala ya jamii na alivaa bonge la kimini!! Hakuna aliyemuelewa na hata maelewano mazuri hayakuwepo!! Kumbe alitakiwa ayajue mazingira na kujua aina ya nguo ya kuvaa.

West kajua atakutana na watu si ajabu wana njaa ya mlo, avae nguo za kujifaharisha wataelewana kweli!!

Mavazi huendana na mazingira sana.
 
Kanye ni kichaa, it' just a matter of time kabla hajalipuka kabisa. Sitoshangaa akaja mwanamme wa Dar wa bongo fleva na kuanza kumuiga Kanye bila kujuwa jamaa ni mgonjwa wa akili.
 
Kavaa kuendana na hali halisi ya eneo analotembelea, na hiyo ni factor kubwa sana katika kufanya kazi na jamii!!

Kuna dada alienda visiwani huko kwenye maswala ya jamii na alivaa bonge la kimini!! Hakuna aliyemuelewa na hata maelewano mazuri hayakuwepo!! Kumbe alitakiwa ayajue mazingira na kujua aina ya nguo ya kuvaa.

West kajua atakutana na watu si ajabu wana njaa ya mlo, avae nguo za kujifaharisha wataelewana kweli!!

Mavazi huendana na mazingira sana.

Huyo kichaa hata akiwa Marekani anavaa hivyo hivyo tena wakai mwingine anakuwa anavaa hata na gauni. Huyu dogo akimbizwe tu Milembe, uchizi unamuanza.
 
Back
Top Bottom