Kanye West kumkuta yaliyowakuta Michael Jackson, R Kelly & Tupac baada ya kuwaponda Wayahudi

Annunaki

JF-Expert Member
Dec 30, 2021
1,911
3,171
Wayahudi ndiyo wanaendesha uchumi wa dunia na nchi ya Marekani kwa ujumla. Yeyote anayejaribu kuwagusa Wayahudi, lazima wamshushe kwa njia zozote , tuliona kwa Michael Jackson na R Kelly na sasa kinachomkuta Kanye West, Donald Trump hata Elon Musk asipokuwa makini atashushwa.

Siku kadhaa zilizopita baada ya Kanye West kuwaponda na kuwakosoa Wayahudi, kwa sasa anapitia kipindi kigumu sana hii ni baada ya Adidas na makampuni mengine kuvunja mikataba yao na rapa huyo.

Makampuni yafuatayo yamevunja mikataba na Kanye West.
-Adidas
-Balenciaga
-Vogue & Anna Wintour
-CAA
-Amefungiwa Instagram & Twitter
-Streams zote zimefungiwa
-Shoo zake zote zimefutwa

Na kufikia leo Kanye West siyo billionaire tena hii ni kwa mujibu wa Forbes.

Another Black billionaire ndiyo anapotezwa hivyo, hataweza tena kusimama na kushinda.

Kanye West (Ye) ndivyo anapotezwa hivyo kwenye ramani ya dunia.

Nashindwa kuelewa, Wayahudi hii nguvu wanaitoa wapi.

Screenshot_20221026-205414_1.jpg
 
Baadhi ya maneno yake kuhusu wayahudi

“Fifty percent today of ... Black people’s deaths today is abortion.... It’s not racism; that’s too wide of a term. It’s genocide and population control that Black people are in today in America, that is promoted by the music and the media that Black people make, that Jewish record labels get paid off of.”
 
Ni vigumu sana kutambua, lakini ndivyo ilivyo.
Ni matatizo yenu ya kiimani... imani yenu ndio inayo watesa na kuwa fanya muendelee kuwa masikini

Nyie ndio wale wa “ni vvigumu tajiri kuuona ufalme wa mbingu lakini ni rahisi ngamia kupenya ktk tundu la sindano”

Mna kalilishwa misemo ya kutukuza umasikini na kuchukia utajiri...

Toa ndugu toa ndugu kile ulicho nacho...

Pale kawe mna ambiwa jikung’ute bakisha nauli ya kukurudisha ulipo toka...

Umasikini wa fikra ni mzigo haswa
 
Ueleweki unaandika nini.
 
Mimi mpaka kufa nitawasupport Wayahudi au wa Isreal

Nitawatu wanaojitambua sana shida sisi watu weusi Tukiambiwa ukweli tunaukataa

Hakikisha unakipenda kitu chako kwanza
 
Wayahudi ndiyo wanaendesha uchumi wa dunia na nchi ya Marekani kwa ujumla. Yeyote anayejaribu kuwagusa Wayahudi, lazima wamshushe kwa njia zozote , tuliona kwa Michael Jackson na R Kelly na sasa kinachomkuta Kanye West, Donald Trump hata Elon Musk asipokuwa makini atashushwa.

Siku kadhaa zilizopita baada ya Kanye West kuwaponda na kuwakosoa Wayahudi, kwa sasa anapitia kipindi kigumu sana hii ni baada ya Adidas na makampuni mengine kuvunja mikataba yao na rapa huyo.

Makampuni yafuatayo yamevunja mikataba na Kanye West.
-Adidas
-Balenciaga
-Vogue & Anna Wintour
-CAA
-Amefungiwa Instagram & Twitter
-Streams zote zimefungiwa
-Shoo zake zote zimefutwa

Na kufikia leo Kanye West siyo billionaire tena hii ni kwa mujibu wa Forbes.

Another Black billionaire ndiyo anapotezwa hivyo, hataweza tena kusimama na kushinda.

Kanye West (Ye) ndivyo anapotezwa hivyo kwenye ramani ya dunia.

Nashindwa kuelewa, Wayahudi hii nguvu wanaitoa wapi.

View attachment 2398724
Huyo Kanye West ni mjinga na hana akili.
Hajui namna ya kuishi n vipofu.

Ttizo wenzetu hawa niggers wakisha pata fedha huwa waanguka kwa kukosa akili.
Ndiyo maana watu weusi tnadharauliwa sana.
 
Mimi mpaka kufa nitawasupport Wayahudi au wa Isreal

Nitawatu wanaojitambua sana shida sisi watu weusi Tukiambiwa ukweli tunaukataa

Hakikisha unakipenda kitu chako kwanza
Wasome kwanza halafu ndio ulete shombo lako hapa kama una wasapoti au huwasapoti nakuona una hemkwa tu btw wao huo UKRISTO wako kama ni mkristo basi wao hawausapoti bali wanawatumia Wakristo kwa maslahi yao shida ya Black Amerka hawajitambui ndio maana wanazinguliwa .
 
Mimi mpaka kufa nitawasupport Wayahudi au wa Isreal

Nitawatu wanaojitambua sana shida sisi watu weusi Tukiambiwa ukweli tunaukataa

Hakikisha unakipenda kitu chako kwanza
Waafrika mtaacha lini kuwa na akili za kushikiwa??
 
Attachments

  • 20221016_182933.jpg
    20221016_182933.jpg
    42.7 KB · Views: 17

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom