Kanye west azinguana na rais obama wa marekani

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Rapper Kanye West amemtolea Uvivu Rais Barack Obama wa Marekani kwa kumzuia kutaja jina lake popote na wala la Mpenzi wake Kim Kardashian...Hii inakuja kama ni kujibu mapigo baada ya raisi wa marekani kumuita Kanye kuwa ni "Jack Ass" yaani mtu mjinga ama Chizi hivi ...

Mwaka 2009 kwa mara ya kwanza Obama alimwita Kanye Jack Ass baada ya Kanye Kupinga ushindi wa Taylor Swift kushinda tuzo ya Best Female Video MTV ..Kanye West alivamia jukwaa na kupinga uteuzi huo....
Juzi Tena katika Mahojiona fulani na TV moja Huko Marekani Obama Aliulizwa Jay z na Kanye Yupi Unamchagua Ombana Akajibu Jay z, na Obama akaulizwa kama bado anamchukulia Kanye kama Jack Ass ..na akajibu hivi:
“He is a jackass,” Obama said. “But he’s talented
 
But not fair kwa president kumdis Kanye hadharani, hata mi ningemmaindi Obama anakuwa kama mswahili bana.
 
je Tanzania inawezekana kwa msanii kuzimguana na rais na kumpiga mkwara?
 
Kanye West is a jackass...what he did that year on stage was jackass-ish period. I am not a fan of Obama's but on this I agree with the president. Oh well let me get back to sorting out more pressing matters close to home, screw both of them.
 
Back
Top Bottom