AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,822
KANYE WEST AOMBA MSAADA WA MABILION YA PESA KWA MMILIKI WA FACEBOOK | Swahili Media RAPA MAHIRI Kanye west amemuomba mmiliki wa FACEBOOK kumkopesha zaidi ya dola bilion moja kwa ajili ya kufanya uwekezaji katika idea zake mbalimbali