Kanyaboya: Malipo ya dola milioni 300 na mtazamo wa Barrick vs tulichotangaziwa kuwa ni malipo ya "good faith"!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371

Fungua hiyo link hapo ujisomee.

Kuna sehemu inasomeka:

"Barrick sees $300 mln Acacia payment in the region of total settlement for tax dispute"

Kama huelewi hiyo lugha; hiyo phrase: "in the region of", maana yake ni sawa na neno "approximately"

Sasa soma sentensi nzima alafu utapata jibu.

=======

TORONTO, Oct 26 (Reuters) - Canadian miner Barrick Gold Corp said on Thursday that a $300 million “good faith” payment its Acacia Mining unit will make to Tanzania could be “in the region” of a total settlement for a tax dispute.

Barrick last week said it reached a framework deal to end a months-long dispute between Acacia and the Tanzanian government, which included the government getting a $300 million payment from Acacia toward outstanding tax claims and 16-percent stake in Acacia’s three in-country gold mines.

Tanzania banned unprocessed mineral exports as part of a push to reap greater rewards from resources in March and in July served Acacia, the country’s largest gold miner, with a $190 billion bill for unpaid taxes, penalties and interest.

“The $300 million number was, again, come to on the basis of probability both parties agreed that could be the region of a settlement,” Barrick Chief Operating Officer Richard Williams said on a conference call Thursday with analysts.

“It would be premature of anybody to sit and say that is a final position. Which is why we refer to it as a down payment: there’s more work to be done yet.”

Barrick, which owns 63.9 percent of Acacia, said Thursday that it is aiming for a final agreement with the government of Tanzania by mid-2018, and is also working with the east African country to lift an export ban affecting Acacia. (Reporting by Susan Taylor; Editing by Chizu Nomiyama)

Source: Reuters
 
Sawa, mbona ndiyo walichokisema Ikulu siku ile, na mazungumzo si yanaendelea.Wakati mazungumzo yanaendelea wataongea kama shareholders, Je ni jambo baya kwako?
 
Tatizo liko wapi hapo? Tangu mwanzo tuliambiwa ni kishika uchumba, tusipotoshane, hivi zitto anatutafutia nini huyu kijana?
 
Tatizo liko wapi hapo? Tangu mwanzo tuliambiwa ni kishika uchumba, tusipotoshane, hivi zitto anatutafutia nini huyu kijana?
"In the region of total settlement for tax dispute."

Jiulize tulikuwa tunawadai kodi kiasi gani alafu haya malipo ya dola milioni 300 ndio yakaribie kumiliza mgogoro wote wa hilo deni.
 
"Barrick sees $300 mln Acacia payment in the region of total settlement for tax dispute"

Kama huelewi lugha hiyo phrase "in the region of"maana yake ni sawa na neno "approximately"

Sasa soma sentensi nzima alafu utapata jibu.
Kutoka kwenye kusema hatulipwi na tutashitakiwa mpaka kuwa mtafsiri wa maneno yasio rasmi.
Utahangaika sana.Tafuta hoja nyingine umeshindwa kwenye ndege,umeshindwa kwenye Makinikia,sasa tafuta hoja nyingine ya kupinga
 
Hamjachoka tu kujitutumua nyie Bawacha? fanyeni kazi za kuwapa vipato isije fika mwezi wa pili muanze tena tabia yenu ya kulia njaa na ukame,
Haya mambo ya madini yako nje ya uwezo wa Bawacha karibia wote!!!
 
Kutoka kwenye kusema hatulipwi na tutashitakiwa mpaka kuwa mtafsiri wa maneno yasio rasmi.
Utahangaika sana.Tafuta hoja nyingine umeshindwa kwenye ndege,umeshindwa kwenye Makinikia,sasa tafuta hoja nyingine ya kupinga
Wekeni mikataba wazi ndio mseme tumeshindwa.
 
Wekeni mikataba wazi ndio mseme tumeshindwa.
Uoneshwe mkataba wewe kama nani?
Serikali haiendeshwi hivyo,kwamba kila kinachokubaliwa kiwekwe hadharani.
Nakushauri ungejielekeza kwenye katiba mpya labda unaweza kupata mileage,maana kila unachoshika unafeli vibaya sana
 
Yaani wakuu nyie mnachokitafuta Ni negative issues tu za kuihusu serikali!
Wasi wasi wangu Ni kwamba wa Tanzania wakiaminishwa kwamba upinzani kazi Yao iliyobaki Ni hiyo basi mmejimaliza wenyewe!!

Hebu tafuteni matatizo halisi yanayowagusa wananchi wa chini moja kwa moja muyasemee, hapo ndipo kwenye pona yenu!

Vinginevyo Mzee wa kule kanyigo ukamuambia mzungu wa accasia ametoa dola Mln 300 badala ya dola nyingi alizokuwa anaiba, tena hizo dola mln 300 anatoa baada ya kubanwa Na Rais Magufuli, hapo itaonekana mshindi Ni Raisi Magufuli tu!! Mtaonekana waropokaji tu!!
 
Kama wanajimaliza si ujinyamzie kimya wajimalize? Nini kuwagutusha!!
 
Yaani wakuu nyie mnachokitafuta Ni negative issues tu za kuihusu serikali!
Wasi wasi wangu Ni kwamba wa Tanzania wakiaminishwa kwamba upinzani kazi Yao iliyobaki Ni hiyo basi mmejimaliza wenyewe!!
Hebu tafuteni matatizo halisi yanayowagusa wananchi wa chini moja kwa moja muyasemee, hapo ndipo kwenye pona yenu!
Vinginevyo Mzee wa kule kanyigo ukamuambia mzungu wa accasia ametoa dola Mln 300 badala ya dola nyingi alizokuwa anaiba, tena hizo dola mln 300 anatoa baada ya kubanwa Na Rais Magufuli, hapo itaonekana mshindi Ni Raisi Magufuli tu!! Mtaonekana waropokaji tu!!
Kwa hiyo wewe unavyoelewa kazi ya UPINZANI /VYAMA VYA UPINZANI kazi yake ni KUISIFIA SERIKALI iliyopo au KUKAA KIMYA hata kama kuna sababu ya kuhoji?
 
Back
Top Bottom