Kanusho la medical stores department (msd)

Papaa Muu

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
243
292
Bohari Kuu ya Dawa( MSD) haijasitisha na kamwe haiwezi kusitisha huduma kwa wateja Badala yake kilichozungumzwa ni MSD imechukua jitihada za makusudi kudhibiti ongezeko la deni nakuwataka wateja wake kutumia vyanzo vyao vingine vya mapato kununua dawa na si kukopa
 
Kugeuza geuza maneno hakutasaidia chochote , sisi tunashika kauli ya jana tu .
 
Bohari Kuu ya Dawa( MSD) haijasitisha na kamwe haiwezi kusitisha huduma kwa wateja Badala yake kilichozungumzwa ni MSD imechukua jitihada za makusudi kudhibiti ongezeko la deni nakuwataka wateja wake kutumia vyanzo vyao vingine vya mapato kununua dawa na si kukopa
hahahaaa nilitaka nishangae, wanataka kumdhalilisha jiwe?.....

kwamba ana budget hewa ya dawa?
 
MSD kaeni kimya maana yaliyopo vituoni tunayajua na tunayaona

Nanyi mmeanza upashukuna kama kile kidada cha Tanga kuzunguka nchi nzima eti serikali imetenga mabilioni...!!

Kiko wapi sasa
wanatumikia matumbo mkuu......

utafika wkt tutaanza kuomba misaada ya dawa kwa wafadhili
 
hahahaaa nilitaka nishangae, wanataka kumdhalilisha jiwe?.....

kwamba ana budget hewa ya dawa?
siyo kumdhalilisha mtu mmoja bali ni kuidhalilisha nchi nzima kwakua hizo dawa watumiaji ni watanzania wote na pia hizo habari za uzushi zimetolewa na vyombo vya habari vya hapahapa nchini, kutokana na hilo unaweza ukapata picha kwamba nia ya vyombo vya habari hivyo vilivyotoa taarifa za uzushi ni kuichafua serikali na Rais wake lakini km sisi watanzania tutaendelea kushughulikia mambo yasiyo na maaana na tukiendeleza fitina za kujifitinisha sisi wenyewee aiseee tutachelewa sanaaaa kimaendeleo.
 
hadi video tunayo kudadeki na mkileta ujinga tutaiweka , uzushi maana yake nini ?
iweke tu hapa hatugombani bali tunaelewesha so broo iyo video iweke tu lkn kumbuka kutokana na maneno ya uongozi wa MSD umekanusha hizo hababri na kusema kwamba baadhi ya vyombo vya habari vimetoa habari za uzushi kuhusu MSD. so wewe unaebisha weka video tuone.
 
Ha haaa haaaaa mbona kulikua na video inasambaa ya afisa wa msd?
mpaka azam TV walipost baadae wakafuta?
 
Back
Top Bottom