Kanuni zipi makinda anazitumia? Je Anne Malecela alisimama kuchangia mjadala upi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanuni zipi makinda anazitumia? Je Anne Malecela alisimama kuchangia mjadala upi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Nov 15, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Napatwa na wasiwasi na kila kukicha nakubaliana na wadau waliosema makinda kawekwa kukidhi matakwa ya watu, ameshindwa kwa njia zote kuliongoza bunge, sidhani kama ana uelewa ni wakati gani mbunge anaweza kuomba mwongozo wa speaker, sidhani kama anajua wakati wa taarifa ni upi na sijui kama anajua utaratibu mzima wa kuendesha bunge lenye wabunge wenye itikadi tofautitouti, na sijui kama anakidhi vigezo vya mabunge ya nchi za jumuiya ya madola!
  ,
  nilishangaa sana jana nilipoona mnyika anaomba mwongozo wa speaker then anakataa, sikujua ni kigezo kipi alikitumia lakini tuyaache hayo, kilichonikera zaidi ni mbunge wa same mashariki MAMA ANNIE KILANGO, kadharirisha wapiga kura wa same, alipewa muda wa KUCHANGIA MSWADA WA UUNDWAJI WA TUME YA KUTENGENEZA KATIBA MPYA!CHA AJABU ALIANZA NA MIPASHO, KEJELI KWA WAPINZANI, KUWASII WANACCM A NA B WANYAMAZE NA KUWAPUUZA, WAMEZOE ACHANA NAO NA SPEAKER ALIMUACHA AENDELEE NA MIPASHO YAKE BILA TARATIBU ZA BUNGE KUFUATWA!BUNGE GANI HILI LISILOKIDHI MATWAKWA YA WAPIGA KURA NA KUENDELEZA SIASA ZA VIKUNDI NA ITIKADI ZA VYAMA, BUNGE GANI HILI LILILOKOSA MWELEKEO!PESA ZETU MNAKULA TU NA MATOKEO YAKE HATUONI!TUMECHOKA NA HILI BUNGE NA MJUE NDO MWAKA WA KWANZA UMEISHA WA HILI BUNGE LA KUMI BADO MIAKA 4, JE TUAFIKA??
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  It's just a matter of time,soon Tanzania will be like Egypt and Tunisia
   
 3. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa wadau wa bongo movies,kupata ukweli juu ya hulka ya spika Anna Makinda,angalia move ya Steven Kanumba iitwayo Moses.
   
 4. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,132
  Likes Received: 3,319
  Trophy Points: 280
  Anajua sana huyo bibi, sema anafanya makusudi ili kuwakomoa wapinzani.
   
 5. l

  luckman JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  sidhani kama huu ni muda wa kuleta siasa za taka maji!huu si muda wa kuleta mchezo kwenye mambo ya msing! huu si mda wa kukomoana hali kodi unakula za wananchi huu ni mda wa kukaa chini, kuweka pembeni tofautizetu za kidini na kisiasa na kujadili mustakabali wa nchi yetu!
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Anne Kilango is a dead politician
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  Iko Siku!!!!
   
 8. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hili sio bunge ni wabunge wanakutana kijiweni kwao,hakunaga kanuni wala taratibu
   
 9. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Wewe Huoni , Anna Makinda ana muruhusu Anna Malechera, hapa kuna tatizo!!
  Anna Malechera amekuwa ana pambambana na Watu waliombaka Dodoma na sio mafisadi kama anavyodai!!
  Angalia hakuna asiyejua kuwa Anna Makinda kawekwa na Mafisadi sasa inakuwaje amuruhusu Anna Malchera??


  Hawa wote ni zao la ufisadi!!!
  Anna Malechera alibeba pesa za EPA kutoka kwa Jeet Patel akaporwa na Mtandao wa Lowasana Rostam ambao ndio wamemuweka Anna Makinda !!

  Hapa kuna Mchezo tunatakiwa kutafakari sana!!!
   
 10. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Je unamkumbuka Samweli Sitta ???
  Huyu amep[ingwa Wazi wazi na kumupa mashart ya Ushoga kuwa safari hii Spika ni Mwanamke sasa mtego huu ukawa hatari kwa Kwa Sitta maana angetumbukia kwenye Ushoga!!
   
 11. L

  Leliro Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jipeni moyo, mwisho wa uovu ni aibu. Unadhani nchi hii haitarudi mikoni mwa wenyewe? Historia inaonyesha kuwa kila kiendacho juu hushuka chini hali kadhalika mambo na uchafu wote unaofanywa hapa nchini utakwisha. Shetani hawezi kukufanikishia mambo yako na mwisho ashindwe kukuaibisha, ni lazima akuaibishe tu kama itakavyokuwa kwa watawala wetu hivi karibuni.
   
Loading...