Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,468
Mimi ninamawazo tofauti kabisa kwani ninaamini kuwa Tanesco ina matatizo ya aina 2Hilo wazo haliwezi kuisaidia TANESCO kama haitaendeshwa zaidi kibiashara na kufuata kanuni zake badala ya mambo ya kisiasa na huduma kwa jamii bila kupata ruzuku ya kutosha!!!!!!!!!!!! Kwa mfano nguzo moja bei yake ya soko ni kama shilling 80,000. 00 Nguzi hiyo hiyo kumpa mtu wa kijijini kumpata umeme ni shilling 27,000.00. Haya hiyo ni hesabu ya wapi??????????? Je hapo kuna uchawi wowote?????
1.Uendeshaji usio na ufanisi
2. Mzigo mkubwa uliobebeshwa kwenye ukodishaji wa mitambo
Hivyo basi suluhisho kubwa ni kwanza serikali ibebe mzigo huu kama ilivyofanya kwenye taasisi nyingine na pili shirika hili lihuishe utendaji kazi wake kwa ku-establish cost centers kuanzia kwenye uzalishaji, usambazaji na mwisho huduma kwa wateja [waondoe viashiria vyote vinavyoathiri ufanishi wa shirika.