Elections 2010 Kanuni za Uchaguzi 2010 na mgogoro wa Sheria ya Gharama

Status
Not open for further replies.
Nadhani, haya yote yamekuwa yakitokea. the difference is only that..this time CHADEMA as opposition has a stake in it and akina Dr. Slaa were reading it carefully between the lines and were able to interpret each and every line on the adverse effect it will during the coming elections.
For sure if you go through all other muswadas there must be some changes which they may call it minor but have been changed after the parliament meeting. We don't have legislators eager to do proof reading of what has been enacted as the law compared to the parliament hansard, etc.
The problem for JK is that he is becoming also too transparent compared to his predicessors and he want the public to be informed of everything for reasons ofcourse well known to him!
NANU,
Thanks. Labda niseme tu hii si mara ya kwanza kwa kitu cha namna hii kutokea.Huko nyuma sikumbuki ni mwaka gani, lakini wakati wa AG Andrew Chenge, iliisha kutokea tukio la namna hii. Wabunge tuliigundua katika hatua ya Kamati Bunge lililofuata. CPD (wakati huo marehemu Lushagara alibanwa, na AG ni timu yake walikiri kufanya makosa) CPD alionywa kama sehemu ya adhabu na ikaishia pale. Tatizo ni kuwa sasa wanatafuta majibu rahisi badala ya kukiri na kuomba radhi, ikiwa ni pamoja na kueleza nia ya kwanini waliichomeka jambo ambalo hata wazo lake tu halikuwasilishwa Bungeni. Angalau kwa lile la wakati wa Chenge wazo lilikuwepo. Hili hata wazo na wala mjadala haukuwepo wa aina yeyote kuhusu " Approving Authority".
Ni vema pia ikajulikana kuwa kwenye hili imekuwa rahisi kwa kuwa Sheria yenyewe imepatikana mapema. Kwa kawaida nakala ya Sheria inachelewa sana kupatikana kiasi kuwa hata mtu mdadisi inakuwa vigumu kuipata na kuichambua. Nadhani haya ni mazingira ya nchi yetu ambayo yanatufikisha hapa tulipo.
 
Dkt Slaa, nashukuru kwa maelezo mazuri. Consequence ya kuongeza vifungu vya Sheria nje ya Bunge ni ipi kisheria? Je, Sheria yote inakuwa haramu au vifungu husika ndio haramu? Naomba kuelimishwa juu ya hilo!
 
Mimi naona hapa muswasa wote urudishwe bungeni na tana kuona kama kweli sheria inafanya kazi ya kweli
 
Dkt Slaa, nashukuru kwa maelezo mazuri. Consequence ya kuongeza vifungu vya Sheria nje ya Bunge ni ipi kisheria? Je, Sheria yote inakuwa haramu au vifungu husika ndio haramu? Naomba kuelimishwa juu ya hilo!
Buchanan,
Sijafanya utafiti wa kutosha, na sijaona "authority" yeyote juu ya jambo unaloliuliza, whether sheria yote ni batili au kifungu tu kilichochomekwa.This are very rare cases, hivyo nisingelipenda kutoa jibu la moja kwa mmoja. Hata hivyo, i) Inatia shaka Sheria nzima, hasa baada ya kujua lengo la kuchomekeza ni nini. Katika sheria hii dhana iliyokuwepo, ukiacha nia njema ya kutaka kudhibiti Rushwa na fedha chafu katika uchaguzi, lalamiko letu kubwa ni kuwa Sheria hii haijagusia yale maeneo muhimu katika kudhibiti Rushwa na wala fedha haramu. Hivyo vipengele vingi vilivyomo ni vya kudhibiti upinzani( na ndio maana moja ya katazo ni kuingiza nchini Helcopter-ndege ndani ya siku 90 wakitegemea kuwa Chadema kama ilivyo kawaida ita "hire chopper" kutoka nchi jirani. Ni dhahiri kipengele hiki kilikuwa kina target Chadema-by interpretation.
ii) Kipengele kilichochomekwa ni dhahiri ni batili, lakini japo ni batili "ab initio" ni mpaka kitamkwe hivyo na mahakama. Kwa vile process ya mahakama ni ndefu, na ni ngumu kwa sababu unahitaji kutoa "notice nadhani ya siku 90" kwa AG kutaka kuishitaki Serikali, by then process yote ya uchaguzi itakuwa imeisha. Ndio maana insistence yangu ni kwenye administrative procedure kama Serikali ina chembe ya uungwana kuindoa kwa njia ya Miscellaneous Amendment.
Nakiri sijajibu kikamilifu Swala lako, lakini nisingelipenda kuwa authority katika jambo ambalo sijalifanyia utafiti wa kutosha.
 
Kuna udhaifu sana katika Watanzania wengi katika kusoma kila andishi na tafisiri yake kwa watu wengi ila la muhimu hapa ni kwamba sheria yenyewe ni batili na imekiuka misingi ya mtiririko wa check in balance hivyo basi inapaswa kurudishwa bungeni. Ndio maana Taifa letu linaingia mikataba feki na kuona kama vile wanasheria wetu huwa wanakuwa wagumu sana katika kusoma. Kuna umuhimu sana kubadili mtitiriko wa sheria na jinsi ambavyo rais anasign sheria kama hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom